Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
WanaJF naombeni msaada kwayeyote anayejua nanmna ya kufanya na kujiunga na CCP nipitie hatua zipi nina cheti cha kidato cha nne na kidato cha sita pia nina cheti cha JKT Na nina umri wa miaka 22 na pia ufaulu wangu ni mzuri naombeni kwayeyote anayejua namba zangu ni 0766103399
 
Point hizi kanuni nmezipendaa maana wanyonge tunao tolewa matusi na kashifaa mpka tunaogopa kupost sasa bora nmeiona hii!
 
"Mnyonge mnyongeni" Haki yake apewe"

LALA KWA AMANI YA BWANA

MPENDWA WETU!

Umetuacha ktk majonzi mazito ila IMANI tunayo!

MUNGU AMBAYE SI MIMI WALA WEWE ATATUKUTANISHA SIKU YA MWISHO!

Aaameenn!!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nauliza, nikitaka kuedit taarifa zangu kwenye profile yangu Nifanyeje?
Nimejaribu nimeshindwa.
 
Naomba kuungwe kwenye kundi la Dini

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…