Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Mbeya kwa kishua kabisa ,kigoma kigoma uko na wilaya zake ni balaa tena ni lile powder jekundu [emoji3]
Mimi labda kwa vile nalinganisha Dar, Moro na Mbeya.

Kwa kweli Mbeya huwa nikivaa open shoes miguu yote Inajaa vumbi..na ule upepo sasa
...panakera sana.


Huko Kigoma
Kuna rafiki yangu alienda jeshini Kanembwa KJ,sasa kabla hajaenda,tulinunua nguo khanga sare.
Baada ya kurudi ,yangu nyeupe ya kwake ilikuwa nyekundu ,utasema ni aina2 tofauti na yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…