Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Mbeya kwa kishua kabisa ,kigoma kigoma uko na wilaya zake ni balaa tena ni lile powder jekundu [emoji3]
Mimi labda kwa vile nalinganisha Dar, Moro na Mbeya.

Kwa kweli Mbeya huwa nikivaa open shoes miguu yote Inajaa vumbi..na ule upepo sasa
...panakera sana.


Huko Kigoma
Kuna rafiki yangu alienda jeshini Kanembwa KJ,sasa kabla hajaenda,tulinunua nguo khanga sare.
Baada ya kurudi ,yangu nyeupe ya kwake ilikuwa nyekundu ,utasema ni aina2 tofauti na yangu.
 
Z
Basi hujafika Makambako msimu wa kiangazi,huwa kuna kuwa na upepo na vumbi linatimka.......ukipita msimu huo huwezi kupapenda MK
Zimepigwa lami za kutosha HiYo now ni historia na katikati ya mji karibia road zote ni lamihiyo vumbi itatoka wapi na miti imepandwa ya kutosha
IMG_20230723_122825_356.jpg
 
Back
Top Bottom