Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe sema ulikuwa Tunduma tu inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe sema ulikuwa Tunduma tu inatosha.
Mimi labda kwa vile nalinganisha Dar, Moro na Mbeya.Mbeya kwa kishua kabisa ,kigoma kigoma uko na wilaya zake ni balaa tena ni lile powder jekundu [emoji3]
Pale mahala ni kisanga,vumbi mpaka sio poa.NAKAZIA
Pole Yako makambako ukifika Lin mara ya mwisho now mji lami zimeenea ndugu ndo maana hata kwenye list HiYo huonOrodha hii bila Makambako ni batili
MAkambako walisha tandaza lami mjombaNiliposoma title mji wa kwanza kuja kichwani ni makambako
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi watu wamepita miaka ya nyuma Sana kabla makambako haijajengeka anafananisha na Leo mji walio piga lami za kutosha Sasa vumbi itatoka wapSijaona vumbi kule labda baridi tu.
lini umepita hii mijiDar hakuna vumbi mkuu ukitembelea miji kama mbeya,makambako,mafinga,songea na mingine iliyotajwa utaelewa nini maana ya vumbi.
Zimepigwa lami za kutosha HiYo now ni historia na katikati ya mji karibia road zote ni lamihiyo vumbi itatoka wapi na miti imepandwa ya kutoshaBasi hujafika Makambako msimu wa kiangazi,huwa kuna kuwa na upepo na vumbi linatimka.......ukipita msimu huo huwezi kupapenda MK
Hili sio vumbi aisee ni kavumbi labda lila majohe kidogo unaweza ita vumbi huko Geita Nyang'hwale Kuna vumbi hadi humuoni wa pembeni yakoSasa ivi vumbi lipo kuanzia mkoa wa TAZARA MPK GONGO LA MBOTO MPK MAJOHE…
Tutake radhi wenyeji mkuuOrodha hii bila Makambako ni batili
Huyo nahis ana Muda mrefu hajaitembelea makambako ndo maana kaongea hivo angejua lami zilivo tandazwa angefuta chapu baada ya kumaliza katikati ya mji now wanapiga za kata za pembezoneTutake radhi wenyeji mkuu
😅😂 Nakubali kakaHili sio vumbi aisee ni kavumbi labda lila majohe kidogo unaweza ita vumbi huko Geita Nyang'hwale Kuna vumbi hadi humuoni wa pembeni yako
HongereniZ
Zimepigwa lami za kutosha HiYo now ni historia na katikati ya mji karibia road zote ni lamihiyo vumbi itatoka wapi na miti imepandwa ya kutoshaView attachment 2743720
Ndio tayari lami imefika mpaka atomicHivi ile barabara kuelekea hotel inayomilikiwa na VETA ilishawekwa rami. Maana ilikua inatoa vumbi sio mchezo
🤣Nimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.