Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Kabuki.
 
Mwizi hana chama,hapo Tunduma Chadema Wakiongoza Halmashauri Kwa miaka 10 Uliza walichofanya Cha maana zaidi ya wizi wa hela
Chadema waibe alafu serekali iwaangalie kadanganye unaowadanganya
Sheria ni kali sana linapokuja swala la chadema
Kwenye almashauri anaekaa na ela ni mkurugenzi ambao wengi wao ni madiwan ndo wanaompangia jinsi ya kutumia ila anayekaa na hela ni mkurugenzi
 
Baraza la Madiwani linakuwa linaongozwa na Serikali? Unajua wizi wa kimgumo unavyofanyika au unapayuka tuu? Lema hana kashfa za Wizara hapo Halmashauri ya Arusha alizokiwa anazitoa Gambo?
 
Baraza la Madiwani linakuwa linaongozwa na Serikali? Unajua wizi wa kimgumo unavyofanyika au unapayuka tuu? Lema hana kashfa za Wizara hapo Halmashauri ya Arusha alizokiwa anazitoa Gambo?
We ndo unayepayuka ela zinapitishwa na madiwani mna mkurugenzi akiwepo ambaye ndo custodian wa hela

Lema hana kashafa yeyote na kama angekua nayo asingeendelea kubaki salama
Ntajie hio kashfa ya lema akiwa mbunge nakusubiria pale
 
Inshort Dom yote Ina vumbi maaana mmezrurua karibu kote hakuna unafuu kwenye vumbi huu mkoa ni kisanga [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We ndo unayepayuka ela zinapitishwa na madiwani mna mkurugenzi akiwepo ambaye ndo custodian wa hela

Lema hana kashafa yeyote na kama angekua nayo asingeendelea kubaki salama
Ntajie hio kashfa ya lema akiwa mbunge nakusubiria pale
Madiwani wote walikuwa Chadema ,mkifanya kipi Cha maana? Mkiwa na mbunge wa Chadema Silinde
 
Vumbi la Mbeya na ule upepo hapana kwakweli
Kuna siku ulitokea msiba uyole kwenye ile kambi ya suma jkt kuna njia kulia unachepuka nikaenda na jamaa yangu alooooo ilikua noma mpaka tumefika ile reli miguu yote vumbi...baada ya hapo tukaenda kuzika karibu na ule mlima wa chunya oyaaaaaa[emoji119][emoji119]
 
Nilikuja boss najua uko town ndo mana nimechuna, vumbi mi jingi na ule upepo mkali na vile vibajaji ndo kabisa,hivi kuna mkoa una bajaji nyingi kama Mbeya?
Sidhani aisee...Mbeya bajaji zipo kila sehemu ndo maana migomo ya daladala haikauki.
 
Back
Top Bottom