Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

14 ni moscow!!!so yawezekana ni uchafu wa viwanda sio kama nyny na uchafu wa majumbani mtani!
Kwanini isiwe ya majumbani?...weye wajua wazungu kwa uchafu weye?....hususan wenye daraja la chini kabisa kiuchumi/homeless?
 
Wewe mgonjwa wa akili, unapafahamu Kibera?
 
Hongereni watani kwa kutuwakilisha, halafu hiyo kwa jinsi ilivyo na joto sasa ukichanganya na uchafu hapakaliki. Mvua ikinyesha na kufanya huo uchafu wote kutapakaa kila maeneo halafu joto. Mkulu wenu kahusika kwenye operesheni za kufagia fagia siku moja, sijui aliishia wapi.
 
Hawa jamaa wabongo, wanadhani Kibera ni Nairobi?? Kibera is just but a part of Nairobi that was started by colonialists for Africans who worked for the whites in the City, Niwape taaswira, Nairobi Metro runs from Kitengela to Limuru, From Ngong to Thika, and it has in the last five years been joined into one enormous city, Mwenyewe naishi Nairobi nasijawahi fika Kibera, Maana ni kwamba iko mbali sana. Mtu anaweza kuja Nairobi miaka na asiwahi jua hata Kibera iko wapi ataisoma magazetini tu ama akumbushwe na Wabongo hivi, Hata hivyo, hiyo Kibera yenyewe inaundwa, (renewal plans) Miaka miwili mitatu ijayo sijui mtasema nini!!! Watu washakubali kuingia kwa nyumba za kisasa, na plan sasa imeshika moto!! Hiyo kibera Miaka miwili itashinda Dar nzima.

Angalia hapa, hiyo barabara ni 2x2 inaundwa sasa hivi, ona hayo majumba mrefu yanayoundwa hapa!! Kisha baadaye landscaping.
 
uzuri wangu huwa sisemi uwongo kenya ambacho wanatuzidi huwa natofautiana kabisa ba Watanzania wenzangu maana sipo kishabiki nimekaa Nairobi mwaka na zaidi Kenya ni chafu sana Dar ina uwafadhali mara 10,000 na wakenya ni wachafu sana hasa lile kabila la wakikiyu ni wachafu hakuna mfano!
 
Dar ni ya 12 kwa uchafu, imejitahidi kuwa safi!!!
 
Sasa kama vile South Africa wanaslum mmewashinda kiuchumi? Kuwa na slum ni kawaida hata Hongkong wanazo! Lakini soma hapo nilivosema. Tunajua tunayo slum Nairobi, lakini tunaitoa kwa vyovyote. Lakini nyinyi?? Mji mzima! Ndo maana hawaiti Dar slum, sababu nzima ni chafu.

Rooftop slums of Hongkong
Kibera yetu tutaimaliza InshaAllah!!
 
View attachment 438033
View attachment 438035
View attachment 438037
The cleanest and largest city in the world-Dar es salaam
Wewe tukikuzingua kidogo tu unaanza kulia lia. Nikianza kuwageuzia kibano kwenye uzi huu hakika mtakimbia.

Nyie mkiguswa mnaanza kulie.. Oh! Annael anatuonea oh!! Annael anatutukana.
Kama mnataka ligi muwe mmejiandaa kweli.

Sasa hivi naongelea issue za tz tu. Mkiendelea kuchokoza tutaanzisha thread kuhusu kenya. Msilie.
 
Tulia Kaka...Usigutuke.Tanzania is a small heaven on earth you know that.
 
Well,It's not only in Dar where Drug abuse is prevalent,This Hadzabe woman in poverty striken rural areas of the small heaven on earth has nothing else to do for entertainment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…