Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

Pangani Junction nairobi

Nairobi ni chafu mara 15 ya Dar kwa tunaoijua nairobi hili ni bayana

Hahaaa...Dar inajulikana Dunia nzima...Imebaki kidogo iwe the top dirtiest town in the world.Wacha inyeshe hicho kijiji chenu,uvundo unaotoa na basi
 
That is not Pangani, hata sijui ni Pangani gani unasema. Ama umepata hiyo picha google na hujaangalia mwaka gani iliwekwa!! Pangani Junction looks like this.

Can you notice trash by that oblique photograph under that flyover may be contained multitudes of trash bags.

Nairobi is trash troll every body knows that.
 
Pita mitaa ya Gikombaa, nenda Ngomongo,zungukia Kibera, Mathare.

Watu wengi maeneo hayo hawana vyoo na ni kuchafu sana ,

Wakazi wengi wasio na vyoo wanarusha vinyesi mto Nairobi.
 
Can you notice trash by that oblique photograph under that flyover may be contained multitudes of trash bags.

Nairobi is trash troll every body knows that.
Pwahaaaaa...Laughing heartily at you.Umeona vile Dar yenu ilikuwa leo asubuhi baada ya hiyo mvua???

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
shenz kabisa
 
Pita mitaa ya Gikombaa, nenda Ngomongo,zungukia Kibera, Mathare.

Watu wengi maeneo hayo hawana vyoo na ni kuchafu sana ,

Wakazi wengi wasio na vyoo wanarusha vinyesi mto Nairobi.

Tihahahahaa...Wadanganyika.You are the proverbial Ostrich burrying its head in the sand.Labda hupajui Dar yenu kabisaa
 
Dar itatumbukia majini tafadhali...After the rains this morning.In the cbd there is no drainage to talk about.....

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Dar buana
 
We know we have our weaknesses but day in day out we seek to make things better.Kenya Hoiyee
View attachment 438472
Yes, that is the Kenyan spirirt, we accept and work on it!!! That is why i was telling the Bongo people, when they wake up again, Kibera will be bigger than Dar itself, we always work on our pitfalls, just like 2007-2008 when people prophesized doom on Kenya, we woke up and worked on what brought us down!!!
My Countries flag always flying high!!!

For those who doesn't know, The only African flag to ever ever fly in the English premier league is Kenyan!!! Not SA, Egypt or even Nigeria!!! Kenya the country with no bounds!!! When will tanzania even dream of such achievements???

The Kenya spirit, the only African ever to participate and rock in Lip Sync Battle and to win an OSCAR, Lupita Nyong'o.
 
Can you notice trash by that oblique photograph under that flyover may be contained multitudes of trash bags.

Nairobi is trash troll every body knows that.
Macho yako yana taabu, huoni hapo ni crane, inaunda hiyo footbridge? Hiyo ni mchanga umelimwa na shughuli za kujenga!! Kwako wewe umezoea uchafu tu. Ndo maana hiyo fikra inakukaa akilini!!
 
Ndio maana mimi niliuza vyangu vyote huo mji nikauhama. Nipo Dodoma now karibuni
 
I couldn't agree more
 
Nilikuwa natafuta Majiji Machafu Africa ila NIKAKARIBISHWA na Hili

~Cmb
 
Nilikuwa natafuta Majiji Machafu Africa ila NIKAKARIBISHWA na Hili

~Cmb
Usijaribu ku change the topic....... Hio ni dangourous Cities, of which 4 south african cities are there.....If you look at most of the cities in that list, they lead in africa interms of bieng financial centers of bussiness.....Anywyay hapa tunaingelea dirty cities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…