Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Kwetu pazuri nimeshapakumbuka.. [emoji445] [emoji444] [emoji443]
 
Ngoja waje wazee wa darisalama
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hasa hasa wale wa pale lumumba
Hakuna wazee wa darisalama, wote ni wa kuja, wengine walileta kuku, ng'ombe au masomo yaliwaleta hatimaye wakaloea, wazaliwa ni wachache mno wengi tulikuja tu.
Wazaramo nao tumewasukukuma kwenda kibaha, mkuranga, bagamoyo na kisarawe hadi chole.
Arusha na moshi wapo wazawa na wamebarikiwa hali ya hewa, ardhi, mazingira hadi makazi bora
 
Hii Dar ni yao pia.
Ukitaka kupima hili subiria December nitakukumbusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…