- Thread starter
- #81
Automatically...Hizo baraka za moshi zinatiririka hadi Tanga, Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Automatically...Hizo baraka za moshi zinatiririka hadi Tanga, Amen
Kwa kweli kabisaIringa na mbeya nako patamu kwakweli
Umeongea kweli tupuNazungumzia
1. Mji wa Moshi.
![]()
2. Mji wa Arusha...
![]()
I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.
Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Effect ni kubwa sana...Vijana wa mikoani mnapenda kujipendekeza ili muonekane wa mjini. Dar na Pwani ndio mikoa iliyobarikiwa ndio maana mnaona wivu ikitajwa wenyeji wa Dar/Pwani wazaramo/wandengereko. Mkimbizi wa Burundi kamwe hawezi kuwa raia wa TZ.
Soon mtasema na Mwanza kwa wasukuma kwenu. BTW Wazee/wenyeji wa Dar wapo wengi haichukui hata masaa ku-notice ingawa hawapigi kilugha kama watu wa vijijini.
Kubalini na mjivunie kwenu.
Na hakuna effect yoyote mkienda kutambika kwenu Desemba.
Miji yenye hali ya hewa ya kuvutia zaidi tz ni Arusha, kilimanjaro, Iringa, Njombe na MbeyaKwa kweli kabisa
Ndio mkuunyie mnajuwa maana kubarikiwa !!!????
Sema mkuu hii ni zaidi ya hali ya hewa....Miji yenye hali ya hewa ya kuvuti zaidi tz ni Arusha, kilimanjaro, Iringa, Njombe na Mbeya
Pamebarikiwa sana.Msisahau juzi pia tumeingiza kwenye record mti mrefu kuliko yote Africa unapatikana Kilimanjaro " barikiwa
Safi...Amina..
Huwa sipendi kupitwa na baraka kijinga kijinga
Mbeya vumbi na upepo kwa sana kiangazi unaweza pofukaIringa na mbeya nako patamu kwakweli
Ukiutizama tu umebarikiwa.Moshi kuna baraka gani zaidi ya joto kali????
Bado sana, uko chini ya kiwango cha baraka za bwanaUmeusahau mji wa tukuyu
Kiangazi hata moshi, arusha na iringa pia hapavutii mkuuMbeya vumbi na upepo kwa sana kiangazi unaweza pofuka
Na Mbeya hakuna kiashiria alama yoyote yakudhibitisha kubarikiwa ni mji uliowahi kukumbwa na matatizo ya uchuna ngozi.Mbeya vumbi na upepo kwa sana kiangazi unaweza pofuka
TABORA WAKUU ZANGU UNAPATA MADEMU WA KIARABU WAKO BOMBA KINYAMANazungumzia
1. Mji wa Moshi.
![]()
2. Mji wa Arusha...
![]()
I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.
Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.