Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.
f83839974e390f98ec071d3db7eca479.jpg


2. Mji wa Arusha...
4f98f6283005ad04e5aaf0a620a5796d.jpg


I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.

Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Umeongea kweli tupu
 
Vijana wa mikoani mnapenda kujipendekeza ili muonekane wa mjini. Dar na Pwani ndio mikoa iliyobarikiwa ndio maana mnaona wivu ikitajwa wenyeji wa Dar/Pwani wazaramo/wandengereko. Mkimbizi wa Burundi kamwe hawezi kuwa raia wa TZ.
Soon mtasema na Mwanza kwa wasukuma kwenu. BTW Wazee/wenyeji wa Dar wapo wengi haichukui hata masaa ku-notice ingawa hawapigi kilugha kama watu wa vijijini.
Kubalini na mjivunie kwenu.
Na hakuna effect yoyote mkienda kutambika kwenu Desemba.
Effect ni kubwa sana...
Hawa jamaa wakiondoka jiji huwa linadoda sana
 
Back
Top Bottom