Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Sifa za kijinga,huu ni wimbo waaaaaa dah nmesahau nkumbushe plZ
 
Mi sijui labda maana ya Baraka za Mungu! Nadhani wengi pia hatuzijui ndo maana tunajazana hata kwa wafuasi fake wa Yesu, eti watuombee tubarikiwe.

Sasa nini maana ya baraka hapa, wengine wasema ukimwi wa mahali, Nyumba nk nazo ni Baraka au viashiria vya kukosa Baraka.
Sitaji mji wala Baraka, nataja Mkoa na uliojaliwa zaidi kuliko yote Tanzania, nao ni Tanga pekee, wanalima mazao yote yalimwao Tanzania, wana Bandari, mito mikubwa, population ndogo, eneo kubwa, watu wakarimu, warembo wenye furaha pasi misongo ya mawazo.

Mbuga, madini, na vivutio vingine vya utalii. Mi si mkazi, wala mzaliwa wa Tanga. Tanga inajitosheleza sana.
 
Mi sijui labda ya Baraka za Mungu! Nadhani wengi pia hatuzijui ndo maana tunajazana hata kwa wafuasi fake wa Yesu, eti watuombee tubarikiwe.

Sasa nini maana ya baraka hapa, wengine wasema ukimwi wa mahali, Nyumba nk nazo ni Baraka au viashiria vya kukosa Baraka hivi.
Sitaji mji wala Baraka, nataja Mkoa na uliojaliwa zaidi kuliko yote Tanzania, nao ni Tanga pekee, wanalima mazao yote yalimwao Tanzania, wana Bandari, mito mikubwa, population ndogo, eneo kubwa, watu wakarimu, warembo wenye furaha pasi misongo ya mawazo.

Mbuga, madini, na vivutio vingine vya utalii. Mi si mkazi, wala mzaliwa wa Tanga. Tanga inajitosheleza sana.
Tatizo wenyeji wa Tanga kichwani ni empty
 
Mi sijui labda maana ya Baraka za Mungu! Nadhani wengi pia hatuzijui ndo maana tunajazana hata kwa wafuasi fake wa Yesu, eti watuombee tubarikiwe.

Sasa nini maana ya baraka hapa, wengine wasema ukimwi wa mahali, Nyumba nk nazo ni Baraka au viashiria vya kukosa Baraka.
Sitaji mji wala Baraka, nataja Mkoa na uliojaliwa zaidi kuliko yote Tanzania, nao ni Tanga pekee, wanalima mazao yote yalimwao Tanzania, wana Bandari, mito mikubwa, population ndogo, eneo kubwa, watu wakarimu, warembo wenye furaha pasi misongo ya mawazo.

Mbuga, madini, na vivutio vingine vya utalii. Mi si mkazi, wala mzaliwa wa Tanga. Tanga inajitosheleza sana.
Ila wagosi wamejaa mjini darisalama wanakaanga chipsi.. Tanga waja leo waondoka leo" means no 1 want to stay there
 
Back
Top Bottom