StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 387
Wamebarikiwa wenye gas braza.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uarabu wa kipwani umewadumaza. Lakini haliondoi ukweli kwamba huu Mkoa uko position bora kuliko yote Tz. Unajua kinachoendelea mikoa ya Arusha na Moshi ukiondoa utalii viko Mby, kuanzia elimu hadi maendeleo. Ila Tanga wana hivyo vyote na bado wana vya ziada.Ila wagosi wamejaa mjini darisalama wanakaanga chipsi.. Tanga waja leo waondoka leo" means no 1 want to stay there
Free stress city kimaisha ni Green city, Mby. Sema lile jinamizi lililowakumba tu la kuchuna ngozi limeuharibia sana.Mi Niko arusha nimezaliwa hapa kati ya hizi miji moshi arusha. Lakini upande wangu mi ninabarikiwa napata raha zaidi nikiwa mwanza pale, hata sasa natamani kukaa pale fukwe za tilapia napamis sana. Mji mwingine naopenda ni mbeya na iringa
Kimaendeleo Arusha Moshi iko juu sana.. Kielimu ndio usiseme huwezi iweka Tanga hapo.Uarabu wa kipwani umewadumaza. Lakini haliondoi ukweli kwamba huu Mkoa uko position bora kuliko yote Tz. Unajua kinachoendelea mikoa ya Arusha na Moshi ukiondoa utalii viko Mby, kuanzia elimu hadi maendeleo. Ila Tanga wana hivyo vyote na bado wana vya ziada.
Wakiweza kuilisha Tanzania wataka wamebarikiwa.Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.
![]()
2. Mji wa Arusha...
![]()
I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.
Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Umetembea mikoa mingapi mkuu!?@Ramzou Arusha ndo'kika ukilinganisha hata condition huwezi pata kokote ktk miji yote tz.
Hapana, wakiamka leo hata miaka mitano haitafika watapaa sana. Kwanza kwa sasa, Tanga, Mtwara na Kigoma ndo miji inayowavutia zaidi wageni wa ndani, fursa ziko njenje.Very late now...
Si kweli, kuna mikoa ni waajiriwa tu serikalini. Mfano mikoa kama Simiyu na kanda ya juu kusini, wakinga ndo wachaga wa Dar. Hakuna biashara kubwa za wahindi wala wachaga pande hizo. Simiyu kuna msukuma mnyantuzu, ni zaidi ya wachaga hawa.Kaskazini ni hawa hapa, wale kule, hawa huku yaani kila kona tunakimbiza.
Rungwe.Kuna mlima gani?
Kwa hiyo kashfa ya watu wa Kilimanjaro kupigiwa wake zao na vijana kutoka Kenya haiondoi/punguzi Baraka za huo mji!?Na Mbeya hakuna kiashiria alama yoyote yakudhibitisha kubarikiwa ni mji uliowahi kukumbwa na matatizo ya uchuna ngozi.
Hauna wenyeji wajanja.
Hapana, hiyo si kanuni ya kiuchumi Mkuu. Wasipokuwepo, demands zikiwepo mwingine atashika nafasi. Wazungu wangeendelea kuwepo nchini, akina Mengi wasingeibuka juu kihivi.Nyie hata msipokuwepo wale hawakwami.
Wao wasipokuwepo huko kwenu ndio basi tena.
Mnasizi
Si kweli, Kigoma nadhani ndo upinzani mpya huu ndiko ulikozaliwa. Mbeya ni ccm zaidi.Ukiona sehemu CCM haipendwi jua hapo pana Nuru angalia inakopenda yaani hali zao ni mbaya balaaa
Ongea kuhusu mkoa wako mkuu acha kujipendekeza au kutaka kujihusisha au kujishikiza Dar au Pwani. Hii inathibitisha kwamba huwezi kuongea kuhusu TZ bila kuitaja mikoa hiyo ambayo ni ndoto ya kila MTZ kufika au kufanya kazi.Ndugu zangu wazaramo akiamia mtu mwenye uwezo yeye, anauza anakimbia kijijini, sehemu ambayo atapata pori la kuwaweka unyago na jando kwa watoto wa kiume.
Dar es salaam Tanzania, wazaramo wote wamekimbilia mikoa ya Pwani, na sasa ivi watu wanawafata mikoa ya Pwani, sijui watakimbilia wapi tena
Wapi nimesema ilibarikiwa na Mzungu? Kwanza sijatumia neno Baraka, halileti mantiki kabisa ktk mada hii, natumia neno "kujaliwa", nimesema kuna kipindi cha hao watawala wa kizungu, Tanzania ilikuwa Tanga na Morogoro, hata Dar haikuwepo.Kwasasa iko wapi wewe?
Kubarikiwa na Mzungu ni tofauti sana kubarikiwa na Mungu.
Kilimanjaro imebarikiwa na Mungu.