Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natokea kanda ya ziwa Mkuu.Kwasababu unatokea ukanda huo ndiyo imebarikiwa?
Ila siku watakapojitambua, lazima ikimbize East Afrika, Tanga kuna Arusha na Mbeya, Lushoto, kuna Kilombero, Pangani, kuna Lindi na Pwani Handeni, wamejaaliwa saaana hawa watu. Wanalima kuanzia mkonge, pamba, mbogamboga, maua, miwa, mpunga nk.Tatizo wenyeji wa Tanga kichwani ni empty
Ni kweli kila mji umebarikiwa ila niliyoitaja hapo imebarikiwa zaidi...Iringa nayo imebarikiwa jaman
Kanda ya ziwa mbona imebarikiwa zaidi ukiacha ziwa pia ardhi yake yote ina madini aina mbali mbali tofauti?Natokea kanda ya ziwa Mkuu.
Bukoba
Very late now...Ila siku watakapojitambua, lazima ikimbize East Afrika, Tanga kuna Arusha na Mbeya, Lushoto, kuna Kilombero, Pangani, kuna Lindi na Pwani Handeni, wamejaaliwa saaana hawa watu. Wanalima kuanzia mkonge, pamba, mbogamboga, maua, miwa, mpunga nk.
ha haaa..sawa sawa mkuu, ila nasisi wazawa wa moro na dar si tunatoa mibaraka huko kwenu? au hatupo kabisa..?Ni kweli...
Ila ni kupitia watu waliozaliwa kwenye hizo ardhi mbili nilizozitaja hapo juu
Hayo madini hayana faida kama hiyo milima miwili hapo...Kanda ya ziwa mbona imebarikiwa zaidi ukiacha ziwa pia ardhi yake yote ina madini aina mbali mbali tofauti?
Nyie hata msipokuwepo wale hawakwami.ha haaa..sawa sawa mkuu, ila nasisi wazawa wa moro na dar si tunatoa mibaraka huko kwenu? au hatupo kabisa..?
Ukizaliwa huko ukiitazama hiyo milima tu umebarikiwa...Kaskazini ni hawa hapa, wale kule, hawa huku yaani kila kona tunakimbiza.
Ivi najiulizaga chipsi akikaanga mchaga Lazima apate maendeleo lakini ndugu zetu watu wa Tanga, Pamoja na kufanya kazi iyo kwa muda mrefu lakini awana maendeleoIla wagosi wamejaa mjini darisalama wanakaanga chipsi.. Tanga waja leo waondoka leo" means no 1 want to stay there
Wewe, Moro ipo kabla ya Moshi na Arusha, karne nyingi hata kabla ya wazungu kuja wakati huo labda Arusha wako maporini. Ukiitwa kwa jina la Simba Mwene.Ni kweli...
Ila ni kupitia watu waliozaliwa kwenye hizo ardhi mbili nilizozitaja hapo juu
Kwasasa iko wapi wewe?Wewe, Moro ipo kabla ya Moshi na Arusha, karne nyingi hata kabla ya wazungu kuja wakati huo labda Arusha wako maporini. Ukiitwa kwa jina la Simba Mwene.
Kipindi cha Mjerumani na Mwingereza, Tanga na Moro ndo ilikuwa Dar zao aka miji ya viwanda, hapo utalii sio dili na madini ni Ulanga. Ibarikiwe toka watu wa kaskazini? Wapi na wapi?
Kwakuhonga chipsi wako vzr sana hawa watu.. tuwaombee 2Ivi najiulizaga chipsi akikaanga mchaga Lazima apate maendeleo lakini ndugu zetu watu wa Tanga, Pamoja na kufanya kazi iyo kwa muda mrefu lakini awana maendeleo
Amkeni ndugu zangu wagosi
Mnabaki kusema wahaya Malaya kumbe nyinyi kwa kuonga chipsi amjambo