Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Katika mikoa iliyobarikiwa Tz ni yote ila mkoa wa kwanza ni Mbeya, wa pili ni Rukwa. Sababu, Katika mikoa hiyo huwezi kushindwa kuishi kwani mazao yote yapo na hakuna njaa chakula full kujiachia. Kama mbeya hakuna kiangazi mvua inanyesha mwaka mzima especially rungwe district. Chakula cha mikoa hii miwili chaweza kutosha kuilisha nchi nzima. Ushahidi, mwaka wa shida ya chakula 2008/2009 drc, Rwanda na Burundi na mikoa ya tabora, Mwanza, shinyanga, Dodoma wote walipata unga wa sembe toka kiwanda kikuu pale sumbawanga na bado stock ilibaki achilia mbali magari ya jwtz zaidi ya hamsini yaliyosombelea chakula mwezi mzima kupeleka mpanda ili kusambaza na treni mikoa yote. Usipende mkoa wako wakati mnalala bila kula hamia mbeya na sumbawanga kwa uhakika wa afya yako.
 
Ongea kuhusu mkoa wako mkuu acha kujipendekeza au kutaka kujihusisha au kujishikiza Dar au Pwani. Hii inathibitisha kwamba huwezi kuongea kuhusu TZ bila kuitaja mikoa hiyo ambayo ni ndoto ya kila MTZ kufika au kufanya kazi.
Wazaramo kitambo walijenga mkoa wa Pwani (Dar kama mkoa ulizaliwa mwaka 1972 na ulikuwa ni sehemu ya Pwani).Hizo picha mlizoposti ni sawa na Dar ya mwaka 1930.Hiyo habari ya kuuza haina maana bali wanapangisha msio na makazi mjini na kisha wenyewe wanapanua miji yao.
Hivi kuna Mzaramo Profesa pamoja na chuo kuwa Dar
 
Acha uhamnazo wewe milima nayo ni baraka siku ikichemka volcano ilioko chini ya hiyo milima na kumwaga lava utakimbilia wapi ?
Milima unasema barka. Je ingekua dhahabu, alimasi, ziwa kubwa lenye bandari, ardhi nzuri ya kilimo cha pamba na mpunga samaki watamu kwa kula na biashara, kama ilivyo Mwanza ungesemaje?
Ukienda Tarime, Geita, na Shinyanga utaaamini bora Milima kuliko Dhahabu na Almasi. Hakuna ilichowasaidia
 
Kwa iyo Mara na Morogoro ni sawa,
Mara tunazungumzia watu waliojitoa katika tasnia ya ulinzi, kama jeshini, achana na wachaga wanaoingia sasa ivi kwa ajili ya kwenda kupiga dili
Mwanzoni Mzungu alitumia Wanubi baadae akapata kabila Kuria hapa ambalo nalo lina Roho katili kama Wanubi akalitumia
 
Hivi kuna Mzaramo Profesa pamoja na chuo kuwa Dar
Mzaramo yake ngoma, unyago na jando kukaa maporini na kufundishana mapenzi. Awana muda wa kusoma, na wasipoangalia, kila miji inavyokuwa watazidi kupotea
Hakuna Mzaramo msomi
 
Sasa nijipendekeze na Dar es Salaam.
Na wakati nimezaliwa apa downtown, tatizo lenu watu wa Arusha na kilimanjaro mnaisi kwamba iyo mikoa ni mizuri kuliko. Mje apa Dar es salaam mshangae shangae alafu muende mkawasimulie manyumbu wenu
Umesahau kusema Amen ili mambo yaende sawa
 
Acha uhamnazo wewe milima nayo ni baraka siku ikichemka volcano ilioko chini ya hiyo milima na kumwaga lava utakimbilia wapi ?
Milima unasema barka. Je ingekua dhahabu, alimasi, ziwa kubwa lenye bandari, ardhi nzuri ya kilimo cha pamba na mpunga samaki watamu kwa kula na biashara, kama ilivyo Mwanza ungesemaje?
Sema Amen kwanza
 
Katika mikoa iliyobarikiwa Tz ni yote ila mkoa wa kwanza ni Mbeya, wa pili ni Rukwa. Sababu, Katika mikoa hiyo huwezi kushindwa kuishi kwani mazao yote yapo na hakuna njaa chakula full kujiachia. Kama mbeya hakuna kiangazi mvua inanyesha mwaka mzima especially rungwe district. Chakula cha mikoa hii miwili chaweza kutosha kuilisha nchi nzima. Ushahidi, mwaka wa shida ya chakula 2008/2009 drc, Rwanda na Burundi na mikoa ya tabora, Mwanza, shinyanga, Dodoma wote walipata unga wa sembe toka kiwanda kikuu pale sumbawanga na bado stock ilibaki achilia mbali magari ya jwtz zaidi ya hamsini yaliyosombelea chakula mwezi mzima kupeleka mpanda ili kusambaza na treni mikoa yote. Usipende mkoa wako wakati mnalala bila kula hamia mbeya na sumbawanga kwa uhakika wa afya yako.
Muache kuroga kwanza mtabarikiwa
 
Yani we mchuchu kwa mara ya kwanza leo umefanikiwa kunichekesha...

Khaaa!!!

Anyway.... Ameeeen!!!
Tumsifu Yesu Kristo
We huoni Tanga tulivyo jaaliwa, kumbe ni sababu tuko karibu na uwaridi
Aaaaameeen
 
Back
Top Bottom