MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Katika mikoa iliyobarikiwa Tz ni yote ila mkoa wa kwanza ni Mbeya, wa pili ni Rukwa. Sababu, Katika mikoa hiyo huwezi kushindwa kuishi kwani mazao yote yapo na hakuna njaa chakula full kujiachia. Kama mbeya hakuna kiangazi mvua inanyesha mwaka mzima especially rungwe district. Chakula cha mikoa hii miwili chaweza kutosha kuilisha nchi nzima. Ushahidi, mwaka wa shida ya chakula 2008/2009 drc, Rwanda na Burundi na mikoa ya tabora, Mwanza, shinyanga, Dodoma wote walipata unga wa sembe toka kiwanda kikuu pale sumbawanga na bado stock ilibaki achilia mbali magari ya jwtz zaidi ya hamsini yaliyosombelea chakula mwezi mzima kupeleka mpanda ili kusambaza na treni mikoa yote. Usipende mkoa wako wakati mnalala bila kula hamia mbeya na sumbawanga kwa uhakika wa afya yako.