mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Nikupe takwimu ya waliojinyonga wiki hii? Au hujuaIringa imebarikiwa kuliko hiyo miji. Home sweaty home bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikupe takwimu ya waliojinyonga wiki hii? Au hujuaIringa imebarikiwa kuliko hiyo miji. Home sweaty home bana
Hizo ni baraka zako....Katika mikoa iliyobarikiwa Tz ni yote ila mkoa wa kwanza ni Mbeya, wa pili ni Rukwa. Sababu, Katika mikoa hiyo huwezi kushindwa kuishi kwani mazao yote yapo na hakuna njaa chakula full kujiachia. Kama mbeya hakuna kiangazi mvua inanyesha mwaka mzima especially rungwe district. Chakula cha mikoa hii miwili chaweza kutosha kuilisha nchi nzima. Ushahidi, mwaka wa shida ya chakula 2008/2009 drc, Rwanda na Burundi na mikoa ya tabora, Mwanza, shinyanga, Dodoma wote walipata unga wa sembe toka kiwanda kikuu pale sumbawanga na bado stock ilibaki achilia mbali magari ya jwtz zaidi ya hamsini yaliyosombelea chakula mwezi mzima kupeleka mpanda ili kusambaza na treni mikoa yote. Usipende mkoa wako wakati mnalala bila kula hamia mbeya na sumbawanga kwa uhakika wa afya yako.
Hajuna jipya huko...Uje na TUKUYU huku mbeya ushangae shangae kidogo
At least you see my factUkienda Tarime, Geita, na Shinyanga utaaamini bora Milima kuliko Dhahabu na Almasi. Hakuna ilichowasaidia
ha ha ha ha ha....Ila hizi picha walizopost ni kama za miji ya Kilosa au Ifakara, wilaya za Morogoro. Tofauti ni milima tu hapo nionavyo.
Oohooo...Mbeya vumbi na upepo kwa sana kiangazi unaweza pofuka
Moshi ilikuwa zamani sasa hivi joto kama SudanMiji yenye hali ya hewa ya kuvutia zaidi tz ni Arusha, kilimanjaro, Iringa, Njombe na Mbeya
Mlima RungweKuna mlima gani?
Hapa sasa ndio penyewe .nilifika mwaka juzi kwakweli nilifurahia sana hali ya hewa ya tukuyu.kama Scotland aisee. Msiharibu mazingira hongereni sana wana tukuyuUmeusahau mji wa tukuyu
Mkuu [emoji106] [emoji106] goodTubarikiwe mara ngapi tayari Rukwa na mbeya tushabarikiwa muda. Huko kwenu mara mvua inaweza kuacha kunyesha ikaacha mahindi yanachanua ndo imetoka hivyo. Kuhusu uchawi sumbawanga ndiyo mji salama wachawi ni wageni mnaokuja kujipima na wafipa. Karibu sumbawanga Chacha.
Labda kwa kula kale kamnyama.Iringa imebarikiwa kuliko hiyo miji. Home sweaty home bana