Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Katika mikoa iliyobarikiwa Tz ni yote ila mkoa wa kwanza ni Mbeya, wa pili ni Rukwa. Sababu, Katika mikoa hiyo huwezi kushindwa kuishi kwani mazao yote yapo na hakuna njaa chakula full kujiachia. Kama mbeya hakuna kiangazi mvua inanyesha mwaka mzima especially rungwe district. Chakula cha mikoa hii miwili chaweza kutosha kuilisha nchi nzima. Ushahidi, mwaka wa shida ya chakula 2008/2009 drc, Rwanda na Burundi na mikoa ya tabora, Mwanza, shinyanga, Dodoma wote walipata unga wa sembe toka kiwanda kikuu pale sumbawanga na bado stock ilibaki achilia mbali magari ya jwtz zaidi ya hamsini yaliyosombelea chakula mwezi mzima kupeleka mpanda ili kusambaza na treni mikoa yote. Usipende mkoa wako wakati mnalala bila kula hamia mbeya na sumbawanga kwa uhakika wa afya yako.
Hizo ni baraka zako....
Ila za Mungu ziko Kilimanjaro na Arusha.
 
Moshi love
 

Attachments

  • 20170305_090943.jpg
    20170305_090943.jpg
    91 KB · Views: 40
Ila hizi picha walizopost ni kama za miji ya Kilosa au Ifakara, wilaya za Morogoro. Tofauti ni milima tu hapo nionavyo.
ha ha ha ha ha....
Huoni wewe.
Wala hujui.
 
Nafikiri Mtwara ndiyo mji uliobarikiwa zaidi japo viongozi wa awamu zilizopita walitaka kuudimimiza lakini bado umesimama.
mtwara.jpg
 
So proud kwa wazaz wote mmoja moshi,mmoja arusha,,ukiwa std 5 moshi ni saw na form 4 iringa,kigoma,ruvuma,ddma singida shinyanga n.k

Ukimaiza frm six moshi sawa na mastarz dar,mbeya,mwanza,Lind ,mtwara tanga,pwani,na Moro.
Ukizaliwa moshi na ukasoma mpka ngaz ya degree duh unatakiwa ukaishi huko botswana ,Swaziland,nabia maana kama form six anamiliki chama kikuu cha upinzani Tanzania je angekua na degree moja tu ingekuaje...

BARIKI MOSHI NA ARUSHA NAWE UBARIKIWE
 
Picha linaanza star wa muvi kazaliwa kwenye msitu wa amazon"sijui ni Aptocalyptor"..! Wacha tuone wadau wanavyo comment
 
Tubarikiwe mara ngapi tayari Rukwa na mbeya tushabarikiwa muda. Huko kwenu mara mvua inaweza kuacha kunyesha ikaacha mahindi yanachanua ndo imetoka hivyo. Kuhusu uchawi sumbawanga ndiyo mji salama wachawi ni wageni mnaokuja kujipima na wafipa. Karibu sumbawanga Chacha.
 
Tubarikiwe mara ngapi tayari Rukwa na mbeya tushabarikiwa muda. Huko kwenu mara mvua inaweza kuacha kunyesha ikaacha mahindi yanachanua ndo imetoka hivyo. Kuhusu uchawi sumbawanga ndiyo mji salama wachawi ni wageni mnaokuja kujipima na wafipa. Karibu sumbawanga Chacha.
Mkuu [emoji106] [emoji106] good
 
Back
Top Bottom