darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Vijana wa mikoani mnapenda kujipendekeza ili muonekane wa mjini. Dar na Pwani ndio mikoa iliyobarikiwa ndio maana mnaona wivu ikitajwa wenyeji wa Dar/Pwani wazaramo/wandengereko. Mkimbizi wa Burundi kamwe hawezi kuwa raia wa TZ.Hakuna wazee wa darisalama, wote ni wa kuja, wengine walileta kuku, ng'ombe au masomo yaliwaleta hatimaye wakaloea, wazaliwa ni wachache mno wengi tulikuja tu.
Wazaramo nao tumewasukukuma kwenda kibaha, mkuranga, bagamoyo na kisarawe hadi chole.
Arusha na moshi wapo wazawa na wamebarikiwa hali ya hewa, ardhi, mazingira hadi makazi bora
Soon mtasema na Mwanza kwa wasukuma kwenu. BTW Wazee/wenyeji wa Dar wapo wengi haichukui hata masaa ku-notice ingawa hawapigi kilugha kama watu wa vijijini.
Kubalini na mjivunie kwenu.