Basi endelea kuamni hicho unacho amino lakini na kuahidi ipo siku yako moja tuu utalia na kusaga meno kama huto badirisha msimamo wakoSema huna cha kujibu.
Sio swali langu halina maana.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Thibitisha maneno yako kama sio vitisho vinavotokana na ngano kutoka vitabu uchwara.Basi endelea kuamni hicho unacho amino lakini na kuahidi ipo siku yako moja tuu utalia na kusaga meno kama huto badirisha msimamo wako
Hapa duniani tumeumbwa ili tuje kumuabudu mungu. Na pia kupimwa yupi ambae atafauluUnataka kuniambia kipindi Mungu/Allah anakuumba alikuwa hajui kama utakuja kutenda dhambi???
Yaani amekuja kujua umetenda dhambi baada ya wewe kutenda???
Kwa hiyo Mungu/Allah Hana uwezo wa kujua kiumbe chake alichokiumba kama kitakuja kumsaliti au kutenda dhambi na kitaenda motoni, basi Mungu/Allah huyu anatofauti gani na binadamu wa kawaida?
Toa ushahidi kama hujaumbwa.Mimi sijaumbwa.
Hakuna binadamu aliye umbwa.
Binadamu wote tumezaliwa kupitia baba na mama zetu.
Binadamu na Dunia hatuna mwanzo wala mwisho.
Si lazima kila kilichopo kiwe kimeumbwa.
Kama ulazima huo upo, Hata Mungu huyo lazima awe ameumbwa na muumbaji wa Mungu awe na muumbaji wake hivyo hivyo mpaka waumbaji wasio na mwisho (Endless).
Siku hiyo Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Basi endelea kuamni hicho unacho amino lakini na kuahidi ipo siku yako moja tuu utalia na kusaga meno kama huto badirisha msimamo wako
Nimekujibu ndugu yangu, labda Kama sijaeleweka nimesema hivi mimi na wewe tunaimani tofauti, sasa siwezi zungumzia kwa upande wako, ila kwangu Mungu ninayemwabudu Mimi ni mkamilifu(perfect) ila wako siwezi mjibia wewe ndiye unayemjua ni perfect au siyo perfect. Kwahiyo si kweli kwamba Mungu perfect hayupoHujajibu swali mpaka sasa,
Unakubaliana nami mungu perfect hayupo?
Shida Mungu/Allah anaumba binadamu wengine Kwa ajili ya kuwachoma Moto na wengine Kwa ajili ya Kula bata peponi, Siyo binadamu anajiamulia ila Mungu/Allah anakuwa kawapangiaInaonekana unaona mungu alikosea.ili uone mungu amepatia ulitaka dunia na watu wake iweje/waweje?
Siku ukiingizwa kaburini ndo utajuwa yupo hayupoSiku hiyo Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Kwa vile Allah huyo Hayupo.
Kwa hiyo unataka kuniambia Mungu hana uwezo wa kujua mwakani utatenda dhambi mpaka siku ikifika halafu ukatenda ndiyo Mungu anajua kuwa wewe umetenda dhambi?????Dhambi ni UTASHI WA MTU.anakujua wewe.kabla ya kutenda DHAMBI INAANZA NIA.sasa hyo nia yako ndo MUNGU ANAIJUA.sijui unaelewa hapo?
Inamakosa mengi zaidi sanaBut the Quran is perfect. Allahu akbar
Mungu anauwezo WA kuona dhambi au Jambo jema utakalotenda mwakani????Msicho kujua Mungu jamlazimishi Mtu kutenda jambo lolote lile
Lakin kwenye KUTOKA Kuna sehemu anasema Tazama nimekuekea mbeleyako njia mbili kulia na kushoto ...
Kwahiyo ni Kaz ya Mtu kuchagua jema au baya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yani umesoma Biblia kinaga ubaga alafu una niuliza tena watu wanao enda mbinguni watu gan??Nimesoma kinagaubaga na kuichambua bible from genesis to revelation for many years,siwezipinga ambacho sikijui. Na kama mtu anaeamini anaenda motoni, kwaio wanaoenda mbinguni ni watu wa aina gani ili hali yesu mwenyewe alisisitiza imani hata kwa wanafunzi wake.
Mimi najua wasio na imani ndo wanaenda motoni. Swali hilo nimekuuliza kutokana na wewe kusema imani haikupeleki mbinguni kwaio nataka nisikie upande wako,Labda una sifa zingine unazozijua ambazo mimi sizijuiYani umesoma Biblia kinaga ubaga alafu una niuliza tena watu wanao enda mbinguni watu gan??
Sema ukwelii tu me mwenyewe nimesoma mwanzon mpaka ufunuo lakin naamini kwamba cjui kila kituu
Vp baadhi ambavyo sijavijua
Lakin cio vitu common kama hivyo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya nia?.Kwa hiyo unataka kuniambia Mungu hana uwezo wa kujua mwakani utatenda dhambi mpaka siku ikifika halafu ukatenda ndiyo Mungu anajua kuwa wewe umetenda dhambi?????
Bado haujajibu swali ulitaka dunia iweje na binadamu tuweje ili ndo uamini kuwa mungu yupoShida Mungu/Allah anaumba binadamu wengine Kwa ajili ya kuwachoma Moto na wengine Kwa ajili ya Kula bata peponi, Siyo binadamu anajiamulia ila Mungu/Allah anakuwa kawapangia
Kama dini ina ujinga wa kulazimisha watu mambo ya imani, na wewe unataka watu wasifuate dini kwa kuwalazimisha, unakuwa unafanya habari ile ile ya kulazimishana ambayo ipo katika dini, ila wewe unaigeuzia dini tu.Dini ina upande mmoja wa kulazimisha kwamba ,amini mungu yupo na anatenda unless jehanamu inakuhusu. By creating this fear people become psychological submissive and ignore their intelligence. Kuhusu elimu ya kumwonyesha mtu kwamba hizo ni kamba, e.g bible contradication hiyo elimu haiwezi kumwingia cause mtu huyo anakuwa tayari ni mateka wa akili na hisia kwaio amepoteza concrete thinking kwenye eneo hilo.kuhusu kukatazwa kwamba itapaisha imuhimu sioni kwa sababu kuna mambo mengi yamekatazwa katika baadhi ya maeneo dunia hii na yamefanikiwa kwa asilimia kubwa, mfano madawa ya kulevya, pombe n. K, why not religion?
Kwa hyo unataka kusema hakuna binadamu wa kwanza?Si mwisho wa kwamba Binadamu wengine hawa endelei kuwepo.
Kifo ni mwisho wa binadamu mmoja au kiumbe mmoja kuto endelea kuwepo.
Kwani mamilioni ya binadamu wangapi wamekufa lakini hadi leo idadi ya binadamu inazidi kuongezeka kwa kuzaliana?
Weeeehhh! Naona unatafuta matatizo.... Litatumwa Bomu hapa kwa njia ya DM, Likulipukie peke yako...!Kavideo tafadhali..
Swali zuri.Kwanini tuheshimu uhuru unaodidimiza maendeleo ya watu? Kwanini iwe kwenye dini tu ndo kuwe kunakuingilia uhuru na si maeneo mengine?