Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Sema huna cha kujibu.

Sio swali langu halina maana.

Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Basi endelea kuamni hicho unacho amino lakini na kuahidi ipo siku yako moja tuu utalia na kusaga meno kama huto badirisha msimamo wako
 
Unataka kuniambia kipindi Mungu/Allah anakuumba alikuwa hajui kama utakuja kutenda dhambi???

Yaani amekuja kujua umetenda dhambi baada ya wewe kutenda???

Kwa hiyo Mungu/Allah Hana uwezo wa kujua kiumbe chake alichokiumba kama kitakuja kumsaliti au kutenda dhambi na kitaenda motoni, basi Mungu/Allah huyu anatofauti gani na binadamu wa kawaida?
Hapa duniani tumeumbwa ili tuje kumuabudu mungu. Na pia kupimwa yupi ambae atafaulu
 
Mimi sijaumbwa.

Hakuna binadamu aliye umbwa.

Binadamu wote tumezaliwa kupitia baba na mama zetu.

Binadamu na Dunia hatuna mwanzo wala mwisho.

Si lazima kila kilichopo kiwe kimeumbwa.

Kama ulazima huo upo, Hata Mungu huyo lazima awe ameumbwa na muumbaji wa Mungu awe na muumbaji wake hivyo hivyo mpaka waumbaji wasio na mwisho (Endless).
Toa ushahidi kama hujaumbwa.
 
Basi endelea kuamni hicho unacho amino lakini na kuahidi ipo siku yako moja tuu utalia na kusaga meno kama huto badirisha msimamo wako
Siku hiyo Haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Kwa vile Allah huyo Hayupo.
 
Hujajibu swali mpaka sasa,
Unakubaliana nami mungu perfect hayupo?
Nimekujibu ndugu yangu, labda Kama sijaeleweka nimesema hivi mimi na wewe tunaimani tofauti, sasa siwezi zungumzia kwa upande wako, ila kwangu Mungu ninayemwabudu Mimi ni mkamilifu(perfect) ila wako siwezi mjibia wewe ndiye unayemjua ni perfect au siyo perfect. Kwahiyo si kweli kwamba Mungu perfect hayupo
 
Inaonekana unaona mungu alikosea.ili uone mungu amepatia ulitaka dunia na watu wake iweje/waweje?
Shida Mungu/Allah anaumba binadamu wengine Kwa ajili ya kuwachoma Moto na wengine Kwa ajili ya Kula bata peponi, Siyo binadamu anajiamulia ila Mungu/Allah anakuwa kawapangia
 
Dhambi ni UTASHI WA MTU.anakujua wewe.kabla ya kutenda DHAMBI INAANZA NIA.sasa hyo nia yako ndo MUNGU ANAIJUA.sijui unaelewa hapo?
Kwa hiyo unataka kuniambia Mungu hana uwezo wa kujua mwakani utatenda dhambi mpaka siku ikifika halafu ukatenda ndiyo Mungu anajua kuwa wewe umetenda dhambi?????
 
Msicho kujua Mungu jamlazimishi Mtu kutenda jambo lolote lile

Lakin kwenye KUTOKA Kuna sehemu anasema Tazama nimekuekea mbeleyako njia mbili kulia na kushoto ...
Kwahiyo ni Kaz ya Mtu kuchagua jema au baya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mungu anauwezo WA kuona dhambi au Jambo jema utakalotenda mwakani????
 
Nimesoma kinagaubaga na kuichambua bible from genesis to revelation for many years,siwezipinga ambacho sikijui. Na kama mtu anaeamini anaenda motoni, kwaio wanaoenda mbinguni ni watu wa aina gani ili hali yesu mwenyewe alisisitiza imani hata kwa wanafunzi wake.
Yani umesoma Biblia kinaga ubaga alafu una niuliza tena watu wanao enda mbinguni watu gan??

Sema ukwelii tu me mwenyewe nimesoma mwanzon mpaka ufunuo lakin naamini kwamba cjui kila kituu
Vp baadhi ambavyo sijavijua
Lakin cio vitu common kama hivyo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yani umesoma Biblia kinaga ubaga alafu una niuliza tena watu wanao enda mbinguni watu gan??

Sema ukwelii tu me mwenyewe nimesoma mwanzon mpaka ufunuo lakin naamini kwamba cjui kila kituu
Vp baadhi ambavyo sijavijua
Lakin cio vitu common kama hivyo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi najua wasio na imani ndo wanaenda motoni. Swali hilo nimekuuliza kutokana na wewe kusema imani haikupeleki mbinguni kwaio nataka nisikie upande wako,Labda una sifa zingine unazozijua ambazo mimi sizijui
na hakuna sehemu nimesema najua kila kitu.
 
Shida Mungu/Allah anaumba binadamu wengine Kwa ajili ya kuwachoma Moto na wengine Kwa ajili ya Kula bata peponi, Siyo binadamu anajiamulia ila Mungu/Allah anakuwa kawapangia
Bado haujajibu swali ulitaka dunia iweje na binadamu tuweje ili ndo uamini kuwa mungu yupo
 
Dini ina upande mmoja wa kulazimisha kwamba ,amini mungu yupo na anatenda unless jehanamu inakuhusu. By creating this fear people become psychological submissive and ignore their intelligence. Kuhusu elimu ya kumwonyesha mtu kwamba hizo ni kamba, e.g bible contradication hiyo elimu haiwezi kumwingia cause mtu huyo anakuwa tayari ni mateka wa akili na hisia kwaio amepoteza concrete thinking kwenye eneo hilo.kuhusu kukatazwa kwamba itapaisha imuhimu sioni kwa sababu kuna mambo mengi yamekatazwa katika baadhi ya maeneo dunia hii na yamefanikiwa kwa asilimia kubwa, mfano madawa ya kulevya, pombe n. K, why not religion?
Kama dini ina ujinga wa kulazimisha watu mambo ya imani, na wewe unataka watu wasifuate dini kwa kuwalazimisha, unakuwa unafanya habari ile ile ya kulazimishana ambayo ipo katika dini, ila wewe unaigeuzia dini tu.

You will become the monster that you hate.

Kama wewe kulazimishwa kuamini dini ni kitu kibaya, basi na walioamua kuamini dini kulazimishwa kutoamini dini ni kitu kibaya.

Hii ni haki yao ya msingi ya kikatiba, kiutu.

Walioweka hii kama haki ya msingi hawakuwa wajinga.

Pia, kulazimisha watu wasiamini dini ni kama vike umekubali kwamba umeshindwa kuwashawishi kwa kuwaelimisha wakakubali. Mambo ya imani huwa hayalazimishwi.

Kama vile ambavyo ukitaka kumlazimisha mtu asiyeamini aamini utapata muumini wa uongo, ukitaka kumlazimisha mtu mwenye imani asiamini, utapata mtu asiyeamini kwa uongo, deep down atabaki na imani yake.

Mambo ya kuamini au kutoamini ni ya hiyari, ukilazimisha watu utatengeneza tatizo tu.
 
Si mwisho wa kwamba Binadamu wengine hawa endelei kuwepo.

Kifo ni mwisho wa binadamu mmoja au kiumbe mmoja kuto endelea kuwepo.

Kwani mamilioni ya binadamu wangapi wamekufa lakini hadi leo idadi ya binadamu inazidi kuongezeka kwa kuzaliana?
Kwa hyo unataka kusema hakuna binadamu wa kwanza?
 
Kwa upande wangu naamini Mungu yupo, hasa nikiangalia ulimwengu ulivyo na viumbe viishivyo ndani yake. SISI binadamu ni wanyama lakini tunaupekee wetu tofajti kabisa na wanyama wengine.
Kuhusu Biblia. Biblia ni kama kitabu kingine tu chenye hadithi mbalimbali. Biblia ina bitabu vingi sana, tangu Mwanzo mpaka Ufunuo. Hivi vyote vimeandikwa na watu tofauti tofauti kama wewe lakini waliopewa maono.
Kwa mfano mimi na wewe tumepewa maona kuhusu jambo ambalo lilitokea miaka mia mbili iliyopita. Katika kuweka kumbukumbu zetu katika vitabu kwa ajili ya vizazi vijavyo hatutasimulia hilo tukio kwa ufanano kila kitu. Lazma kutakua na utofauti wa kiuandishi lakini wote tukiwa maana/ujumbe mmoja.
 
Kwanini tuheshimu uhuru unaodidimiza maendeleo ya watu? Kwanini iwe kwenye dini tu ndo kuwe kunakuingilia uhuru na si maeneo mengine?
Swali zuri.

Kwa sababu, kwanza, maendeleo yanaendana na utashi wa watu. Hutakiwi kujichukulia wewe unachoona ni maendeleo kuwa ndicho maendeleo.

Kwa mfano, maendeleo ni lazima yaje na uhuru wa kujichagulia. Maendeleo bila uhuru wa kujichagulia ni utumwa. Sasa utawaleteaje maendeleo, kwa mfano uwajengee majumba ya maghorofa na viwanda, watu ambao nia yao ni kukaa kwenye vibanda vyao vya asili na kilimo chao cha asili?

Mwalimu Nyerere alienda Umoja wa Mataifa mwaka 1959 katika harakati za kudai uhuru. Akawa anahojiwa katika TV show moja, show ya Mama Roosevelt New York City. Video ipo Youtube. Katika ile show, Nyerere aliulizwa, wewe unataka watu wako wapewe uhuru mjitawale, lakini mbona nyie watu kama hamjafikia uwezo wa kujiendesha nchi bado? Hamna wasomi wa kutosha, hamna ujuzi wa kuendesha nchi kisasa etc. Nyerere akawajibu kifalsafa sana, kwa mfano. Akasema, ukimkuta mtu kavaa koti lake, ukamnyang'anya, ukasema hili koti hujui kuvaa, kwanza kubwa halikutoshi, nipe mimi. Baada ya muda yule mtu akaja kudai koti lake, akisema sijali kama koti kubwa, sijali kama koti halinitoshi, najali kwamba koti ni langu, nipe mwenyewe koti langu nivae.

Nyerere alikuwa anaongelea haki ya self determination, kwamba, whether mtu anajua kuutumia uhuru wake si hoja, hoja ni kwamba uhuru ni wake apewe.

Wewe unachosema ni kama kile alichoulizwa Nyerere, unasema hawa watu wanyang'anywe makoti, kwa sababu si size yao, hawajui kuvaa. Tuwafundishe. Lakini labda unavyopenda wewe si wanavyooenda wao.

The transcripts and video of the Nyerere Interview are available here

 
Back
Top Bottom