Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Kuna MIPAKA.wakati baba yako anakwenda kuoga uwa anakuita kumuangalia?
Ndivyo mungu kaweka mipaka ya kumjua.
Asante sana.
Kama ni wa kukuwekea mipaka ya kumjua,unahangaika ili iweje?
Hata kumuona ni hivo hivo.
Kawaacha solemba, huoni hana mda na wewe sasa?


Yule dogo mtoto wa fundi,kama yeye ndo mungu kwa wanaoamini hivyo. Si ilisemekana alikuwa na watu wake,af eti alipaa huku wanamuangalia akawaacha!? Aliwaachia nani? Aliwaachaje?
Eti aliahidi hatochelewa kurudi, si mpaka leo wanamsubiri?
Kwa stori za mtaani, kakimbia ukatili wa watu wake. Huku kawaumba yeye. Kwa hiyo,wanamzidi ujanja sasa!!!!
Watu wa leo wanahusikaje? Tutajuaje kama si zile chai kama za humu? Mbona tunaishi miaka isiyozidi 100 kwa waliodumu,hizo stori kaleta nani aliyewaona!!!! Mnasemaga tukio furani la mwaka furani. Mbona sijawahi sikia yalitokea mwaka furani?
 
All in all

Naomba utoe vigezo vyako ambavyo WEWE binafsi ukiviona utaamini Mungu yupo

Me nilisha kwambia vigezo vyangu vinavyofanya ni nasema Mungu yupo

In addition
Uwepo wa UCHAWI na USHIRIKINA
Tuu una Thibitisha Mungu yupoo



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sema tuu vigezo vyako ambavyo WEWE binafsi ukiviona utaamini Mungu yupo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nipo UPANDE WA ALLAH.

Mkuu kwakuwa uzi huu unahusu mikanganyiko ya Bibilia basi ngoja tuishie hapa

Nitafungua uzi maalumu kuhusu mikanganyiko ya heka za Mudi na kitabu chake kuruwani........ nitakutag mkuu
 
Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.
 

Hakuna Uchawi wala ushirikina mkuu
 
Mkuu kwakuwa uzi huu unahusu mikanganyiko ya Bibilia basi ngoja tuishie hapa

Nitafungua uzi maalumu kuhusu mikanganyiko ya heka za Mudi na kitabu chake kuruwani........ nitakutag mkuu
Sina shaka na Muhammad wala quran.
 
hapana. Nimeona unaruka ruka tu kujibu haya niambie unaamini upepo upo?
Siamini upepo upo.
Ninathibitisha upepo upo kwa kuona outcome mfano; nikipuliza karatasi linapepea, upepo ukiwa mkali unapeperusha vitu vyepesi,
Upepo unaweza kupimwa upepo unaweza kuuhisi. Sio swala la kuamini upepo, upepo unathibitishika kwa matokeo yake.

Thibitisha kwa njia yoyote kuhusu mungu?
 
Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.
Mkuu, unaweza saidia kuweka neno assumption kwa kiswahili?
Mapadre wako poa sana. Na miaka yote wanayokaa wakisomea mambo ya Mungu,atakudanganya weeee,akifika anapoona hataki maswali,atakwambia hizo ni assumptions. Na biashara anakuwa amemaliza kabisaaaa.
Sasa,mtu mtaani hapa,hana A wala Z,anajua sana.
 
Sijatoka kwenye mada, kama unakusudia hiyo mistari ya kwenye Biblia wenye Biblia yao watakuja kujibu.
Sasa kilichokufanya kujibu ni nini wakati hoja ni mikanganyiko iliyopo katika biblia?

Huoni unakosa utulivu wakusoma hoja na kuendekeza stori zako za kale za kiarabu mkuu?

Jikite katika hoja
Unaweza kuendelea na huyo unayeita ni mungu wako ukamuweka tukaja kujadili.

Karibu sana.
 
Etii Mungu hayupooo kwasababu
1:uwepo wamabaya duniani
2😀unia hipo hivi kwahiyo Mungu hayupo

Alaf kwasababu hizo mbili Kabisa unadiriki kumkufuru Mungu

Alaf una niambia Biblia umesoma yoteee

Wakati Biblia sehemu nyingi Sana inaelezea hata siku za mwisho zitakavyo kua jinsi mabaya yatakavyo ongezeka

Usicho jua Mungu hamlazimishi Mtu kumu amini kwamba yeye yupo

Mungu alipo muumba mtu alimpa ufaahamu wa kujitambua na kufata anacho kupenda

Kwahiyo hata uwepo wenu nyie watu Unazidi kumtukuza MUNGU
Kwakua Mungu hamlazimishi mtuu kumuamini au kuto muamini

Acha kua kama mtu ambaye huja wai kusoma Kweni kila Mgonjwa lazima Alazwe au kila Mgonjwa hatembei

Elimika rafiki acha ku gurge vitu usivyo vijua

Kaa chini soma Bible ndo uje utuambie Uso google vitu tuuuu rafiki

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Vipi kuhusu uchawi masta? Hivi upo au na wenyewe ni story tu?
 
Mkuu,
Binafsi dhana nzima ya ukombozi kwenye mantiki huwezi kumueleza mtu akakuelewa.
Yaani alikuja kutukomboa katika dhambi, wakati kuna sehemu anatuma malaika waende kuua watu, nguvu za kugawanya bahari, kutembea juu ya maji , kurudisha sikio lililokatwa na kufufua zipo.

Ila akamleta mtoto wake afe kwa ajili ya ukombozi!
Mkuu DR Mambo Jambo embu weka neno hapa😂
 
Huo ni udhaifu wakuleta porojo na kushindwa kujibu hoja!
Jibu hoja mkuu
Karibu sana.
 
Vipi kuhusu uchawi masta? Hivi upo au na wenyewe ni story tu?
Ukiamini stori za mungu lazima uamini na stori za uchawi.

Hakuna shida na kuamini kwako
Dhana nzima ya kupinga uwepo wake imejikita katika mikanganyiko sifa zake zinajipinga zenyewe.

Karibu mkuu tujadili.
 
Yele yalee

Eti Mungu kachoka nioneshe sehemu ambayo Mungu Wana sema kachoka Soma Biblia vizur

Nenda kasome mwanzo 2:1-3

Alaf ujijibu mwenyewe

Maswali mingine ni ujinga tuu wakuto kusoma Bible

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Quran 41:11 -
Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.

Mbingu kiumbe Cha Mungu kama ulivyo wewe na kinatii maneno ya Mungu na zinajua kama zimeumbwa na Mungu

Kwahiyo wewe unapo chukua sifa za Mungu aliyeumba mbingu na aridhi na kumpa hizo sifa binadamu wenzako ambayo ni Yesu mbingu lazima zichukie


Kuhusu hiyo hoja yako ya pili ya kumswalia mtume hapo shida ni kwamba wewe haijui kiswahili Wala kiarabu Kwa sababu neno swala ni neno la kiarabu

Ila kama wewe unadhani hapo maana yake ni kumuabudu mtume toa ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…