passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
-
- #401
MKuu Gocha,Sema tuu vigezo vyako ambavyo WEWE binafsi ukiviona utaamini Mungu yupo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mungu hayupo, kisichokuwepo hakiwezi thibitishwa kwa namna yoyote ile,
Kwahiyo una sema Mungu Hana outcomesMkuu mjinga,
Ni hivi nikiwasha feni nikaweka karatasi mbele yake itapepea Nina feel upepo, upepo unaweza kupimwa.
Upepo ukiwa mkali utaona outcome majani yana ruka light object vina move.
Thibitisha mungu kwa namna yoyote ile?
Kutojua ulimwengu upo hivi ulivyo haimanishi niamini majibu ya uongo, na yanajidhihirisha ni ya uongo sababu ya contradiction zake, Na mola mwenye upendo mwingi lakini huyohuyo anasimamía uwepo wa maovu ,na si tu kusimamia vilevile yeye mwenyewe anaua.Ni dhahiri mungu huyo hayupo ila tu yupo kwenye vichwa vya wale walioamua kuwa mateka wa akili na hisia.Mola ndio ameruhusu yote hayo yatokee.
Kadhalika hii sio hoja bali ni kioja, yaani kwa vipi uwepo wa mabaya ndio uthibitisho wa kuwa Mungu hayupo ? Hivi umekifikiria ulicho kiandika ?
Wewe umejuaje kama angekuwepo (kama unavyo dai) mabaya yadingekuwepo ? Yaani kipi kinakujulisha ya kuwa kutokuwepo kwa Mungu ni kuwepo kwa mabaya ?
Sasa tuambie wewe imekuwaje ulimwengu ukawa hivi ulivyo ? Kisha uthibitishe ukweli wa hoja yako.
Nani alikwambia mgonjwa ni mpaka alazwe hospitali ?
Etii Mungu hayupooo kwasababu
1:uwepo wamabaya duniani
2😀unia hipo hivi kwahiyo Mungu hayupo
Alaf kwasababu hizo mbili Kabisa unadiriki kumkufuru Mungu
Alaf una niambia Biblia umesoma yoteee
Wakati Biblia sehemu nyingi Sana inaelezea hata siku za mwisho zitakavyo kua jinsi mabaya yatakavyo ongezeka
Usicho jua Mungu hamlazimishi Mtu kumu amini kwamba yeye yupo
Mungu alipo muumba mtu alimpa ufaahamu wa kujitambua na kufata anacho kupenda
Kwahiyo hata uwepo wenu nyie watu Unazidi kumtukuza MUNGU
Kwakua Mungu hamlazimishi mtuu kumuamini au kuto muamini
Acha kua kama mtu ambaye huja wai kusoma Kweni kila Mgonjwa lazima Alazwe au kila Mgonjwa hatembei
Elimika rafiki acha ku gurge vitu usivyo vijua
Kaa chini soma Bible ndo uje utuambie Uso google vitu tuuuu rafiki
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu GochaKwahiyo una sema Mungu Hana outcomes
Nimekwembia hivi Mungu yupo kwasababu kanitendea MIUJIZA hiyo ndo outcomes
Kwanini Una amini upepo upo?
Si kwasababu ya outcomes
Lakin kumbuka upepo hauinekani Wala haushikiki
Kama una amini outcomes za upepo kwann usiamini out comes za Mungu??
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Na utuambie hiyo miujiza.hivi Mungu yupo kwasababu kanitendea MIUJIZA hiyo ndo outcomes
Kwahiyo una sema Mungu Hana outcomes
Nimekwembia hivi Mungu yupo kwasababu kanitendea MIUJIZA hiyo ndo outcomes
Kwanini Una amini upepo upo?
Si kwasababu ya outcomes
Lakin kumbuka upepo hauinekani Wala haushikiki
Kama una amini outcomes za upepo kwann usiamini out comes za Mungu??
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna malaika muasi hata mmojaMalaika wanaasi pia, unawafahamu Wanefili?
Biblia ni kitabu kinachoelezea historia ya mambo ya zamani, sina hakika kama yote yaliyoandikwa mule yalikuwepo kweli ila kuna mambo mengine ukisoma tu yanaonekana ni uongo wa waziwazi. Quran ukiisoma utaona kwamba mwandishi wake alikuwa ameisoma vizuri biblia na akahisi ina makosa na kutaka kuyarekebisha ndipo akaharibu kabisa. Quran ni kitabu kilichojaa stori za kujitungia tu, kama we hulioni hilo tambua kwamba una ufikiriajiAllah ndiye MunguNimsapoti. Adhibitishe kauli gani? Kwani Allah si ndo mungu?
Hivi hata ukianzia hapa tu,hamuoni kwamba mpo tu kwenye meri inayozama!!! Iweje watu mmezaliwa sehemu moja,mazingira ya pamoja,tena wengine familia moja. Af, mtu aje eri mi naamin Mungu. Mwingine hapana, ni Allah. Af kwenye kujibu mungu au allah,unapewa majibu sawa. Huo utofauti unatokaga wapi?
Mkuu uthibitisho wako ni Anania na safira ndio unathibitisha mungu yupo?Utake usitake Yeye yupo na alikuwepo na ataendelea kuwepo.
Na utamkuta katika mengi
Kuponya kbuka yule mwanamke aliyebakiwa na mlo mmoja akila age.Alipompikia mtumishi was Bwana kila kitu kiliongezeka.Hivyo MUNGU alimponya na njaa.Maana yupo jitokeze afanye maajabu kwako kama umekwama mahali
Kuonya.Rejea Anania na Safira walidanganya(sadaka/ahadi)na walikufa ili kuwa funzo kwa wengine kujua yupo na anatenda kazi
Inaweza kuwa ni maneno yako tu binafsi.Tafiti zinaonyesha kwamba...
1. Dini ya Kikristo inaongoza Kwa kuzalisha Atheists wengi.
2. Asilimia kubwa ya Atheists wa Jamii Forum wana background ya Kikristo.
Hypothesis:- data zinaonyesha kwamba sababu kubwa ya atheists wengi kuwa na background ya dini ya Kikristo ni contradictions nyingi zilizojaa kwenye kitabu chao,.hali inayofanya wengi kushindwa kuelewa mafundisho yao.
Mbona unaongea maneno tupu bila uthibitisho wowote? Haina tofauti na maneno ya kanga.Biblia ni kitabu kinachoelezea historia ya mambo ya zamani, sina hakika kama yote yaliyoandikwa mule yalikuwepo kweli ila kuna mambo mengine ukisoma tu yanaonekana ni uongo wa waziwazi. Quran ukiisoma utaona kwamba mwandishi wake alikuwa ameisoma vizuri biblia na akahisi ina makosa na kutaka kuyarekebisha ndipo akaharibu kabisa. Quran ni kitabu kilichojaa stori za kujitungia tu, kama we hulioni hilo tambua kwamba una ufikiriaji mdogo sana.
Yes ni maneno binafsi yenye ukweli ndani yake...mfano mzuri hata wewe Kwa zaidi ya 60% I bet una background ya Kikristo ndiyo maana umekuja na mada hii Kwa kuwa kitabu unachotumia kimekuchanganya.Inaweza kuwa ni maneno yako tu binafsi.
Unaweza ukafungua uzi wenye kuonyesha mungu wako asiye na mikanganyiko tukajadili.
Karibu tujadili mada mkuu.
Maneno binafsi hayawezi kuwa yana ukweli ! Ukweli unabaki kwako wewe mkuu.Yes ni maneno binafsi yenye ukweli ndani yake...mfano mzuri hata wewe Kwa zaidi ya 60% I bet una background ya Kikristo ndiyo maana umekuja na mada hii Kwa kuwa kitabu unachotumia kimekuchanganya.
Tukiacha ushabiki usio na maana yoyote,.. Qur'an ndiyo imeelezea na kujibu maswali yote ambayo watu wanayajengea hoja., Kuanzia kile mnachoita problem of evils, existence of disasters,maradhi, vifo na kadhalika kwamba Kwa nini vinatokea,...na kwanini MUUMBAJI mwenye uwezo wa kuzuia vitu hivyo anaruhusu vitokee.
NB:- Huo ni mtazamo wangu naamini nipo sawa,. wewe pia una mtazamo wako unaamini upo sawa.. mwisho wa siku tupo hapa kujadili na ikishindikana kukubaliana basi itabidi tukubali kutokukubaliana.
Napita tu🏃Allah huyo, Anashushaje Quran kwa lugha moja tu ya kiarabu?
Allah huyo, Hakujua kwamba Duniani kuna watu wa lugha mbalimbali?
Allah huyo, Alishindwaje kushusha Quran hiyo kwa watu wote duniani wa lugha zote akaeleweka na watu wote kwa wakati mmoja?
Msamehe dada yetu huyo.😂Hili sio jukwaa la matangazo.
1. Maneno binafsi yanaweza kuwa na ukweli.Maneno binafsi hayawezi kuwa yana ukweli !