passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #441
Mkuu kisai,Thibitisha madai yako.
Pangua hoja zilizopo hapo juu kuhusu biblia au hujaona?
Turudi katika mada.
Karibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kisai,Thibitisha madai yako.
Huna mada kwenye masuala ya kiroho zaidi ya toto la chekechea kuvamia mmaabara ya chuo.Huna tofauti na poyoyo wa mliyayoyo!
Karibu tujadili mada.
Ndio maana nakushangaa, hujasoma nilicho kiandika huko mwanzo ?Mkuu kisai,
Pangua hoja zilizopo hapo juu kuhusu biblia au hujaona?
Turudi katika mada.
Karibu sana.
Hii mada inahusu mkanganyiko katika biblia.Ndio maana nakushangaa, hujasoma nilicho kiandika huko mwanzo ?
Nilishasema kuhusu Biblia Mimi kitabu hicho hakinihusu, wenye kitabu Chao watakuja kukotetea.
Sasa rudi pale mwanzo uone nilianzaje kuchangia, ndio maana nataka uweke hoja zako.
Poa.Hii mada inahusu mkanganyiko katika biblia.
Mbali na hapo mkuu pumzika kwasababu ushasema haikuhusu.
Karibu tena.
mkuu unaelewa maana ya hiyo dhana?au ndio uko kwenye kilele cha hang over?Hakuna Ukombozi wa kafara ya Mtu mkuu Hiyo ni changa la macho...
BIblia yenyew inasema kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe sasa iweje tu aambiwa kuna mtu akitubebea..
Watu wanashindwa kuamka kwenye ulimwengu huu
We jamaa una matatizo kichwani, unasema mud hakuwahi kusoma biblia, kwani mi nimesema alisoma? Kisha unajitekenya mwenyewe kusema hakuandika Quran, mi nimesema aliandika yeye?Mbona unaongea maneno tupu bila uthibitisho wowote? Haina tofauti na maneno ya kanga.
Muhamad hakuwahi kuisoma Biblia wala hata hakujua kusoma wala kuandika.
Na wala yeye hakuandika Quran maana Quran ilikuwa inashushwa na malaika
Yaani hisia zako unaamini mbingu zina roho kama binadamu kwamba zichukie ama zifurahi. Achana na fikra za namna hiyo. Mbingu haziwezi kuogopa hadi kutetemeka kwa Yesu kuitwa mwana wa Mungu.Quran 41:11 -
Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.
Mbingu kiumbe Cha Mungu kama ulivyo wewe na kinatii maneno ya Mungu na zinajua kama zimeumbwa na Mungu
Kwahiyo wewe unapo chukua sifa za Mungu aliyeumba mbingu na aridhi na kumpa hizo sifa binadamu wenzako ambayo ni Yesu mbingu lazima zichukie
Kuhusu hiyo hoja yako ya pili ya kumswalia mtume hapo shida ni kwamba wewe haijui kiswahili Wala kiarabu Kwa sababu neno swala ni neno la kiarabu
Ila kama wewe unadhani hapo maana yake ni kumuabudu mtume toa ushahidi
Mimi nmekuambia Quran haijaandikwa na mtu bali ilishushwa...We jamaa una matatizo kichwani, unasema mud hakuwahi kusoma biblia, kwani mi nimesema alisoma? Kisha unajitekenya mwenyewe kusema hakuandika Quran, mi nimesema aliandika yeye?
Mi nimesema huyo aliyeandika hiyo Quran ndo alisoma Biblia kwanza. Wewe binafsi ukisoma Biblia na Quran lazima utagundua hilo. Quran imejaa mawazo ya kibinadamu.
Kwani Quran aliandika Nani?
Wao wanadai ilishushwa,We jamaa una matatizo kichwani, unasema mud hakuwahi kusoma biblia, kwani mi nimesema alisoma? Kisha unajitekenya mwenyewe kusema hakuandika Quran, mi nimesema aliandika yeye?
Mi nimesema huyo aliyeandika hiyo Quran ndo alisoma Biblia kwanza. Wewe binafsi ukisoma Biblia na Quran lazima utagundua hilo. Quran imejaa mawazo ya kibinadamu.
Kwani Quran aliandika Nani?
Kama hakuandika mungu mkuu, Kwanini wakiite kitabu kitakatifu cha maneno ya mungu?Nawaona mnamkufuru Mungu,
Mkumbuke maandiko hakuandika Mungu mwenyewe,watu wameandika na kuyaweka kwa namna ambayo waliona inafaa kuwa,sasa ukimhusisha Mungu kwenye mambo ya binadamu unakosea sana,
Amini yupo umkose,kuliko umkatae alafu ukamkute
Hiyo mada mkuu ungeanzisha kwenye uzi mwingine.Mimi nmekuambia Quran haijaandikwa na mtu bali ilishushwa...
Sasa Wewe unaesema iliandikwa na mtu aliyesoma Biblia ndio uweke ushahidi hapa ni nani huyo.
Kama huna kakojoe ukalale
Mabudha hawana MunguMungu yupi huyo unae mzungumzia hapa ? Labda Mungu wa Mabudha.
Kabla sijaenda kukojoa ili nilale hebu niambie kitu, unaposema imeshushwa unamaanisha mwandishi ni Mungu au imejiandika yenyewe?Mimi nmekuambia Quran haijaandikwa na mtu bali ilishushwa...
Sasa Wewe unaesema iliandikwa na mtu aliyesoma Biblia ndio uweke ushahidi hapa ni nani huyo.
Kama huna kakojoe ukalale
Wanasema imeshushwaje, yaani ilidondoka kutoka juu au ni vipi! Kwa hiyo hicho kitabu hakina mwandishi?Wao wanadai ilishushwa,
Niliwaambia waandike uzi wao tuone hicho wanachoita kitabu kitakatifu Kama si stori za osama.
Quran haijaandikwa, ilikuwepo mbinguni toka milele!malaika ailkuwa anachukua vifungu anamshushia Muhammad.Kabla sijaenda kukojoa ili nilale hebu niambie kitu, unaposema imeshushwa unamaanisha mwandishi ni Mungu au imejiandika yenyewe?
Mkuu clever,Wanasema imeshushwaje, yaani ilidondoka kutoka juu au ni vipi! Kwa hiyo hicho kitabu hakina mwandishi?
Wana nini ?Mabudha hawana Mungu