passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
- #401
MKuu Gocha,Sema tuu vigezo vyako ambavyo WEWE binafsi ukiviona utaamini Mungu yupo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
mungu ni mwenye nguvu zote, hakosei, habadili maamuzi, mwenye upendo wote, aliumba mbingu na ardhi
Hizo sifa zote hapo zinajikanganya yaani mungu anabadili mawazo, anaua,ana upendeleo, ana wivu ana hasira, si mwenye uwezo na nguvu zote
Je unahitaji kuona mistari na baadhi yake nimeiweka hapo juu.
Uwepo wa sifa zake unajipinga wenyewe kupitia vitabu hivyo viitwavyo vitakatifu.unaweza kumtetea vipi?