Naam vitabu vyote vya Allah vilishushwa, hapa naongelea Zaburi, Taurati, Injili na Qur'an.Wanasema imeshushwaje, yaani ilidondoka kutoka juu au ni vipi! Kwa hiyo hicho kitabu hakina mwandishi?
Kwako wewe Stori ni nini ? Stori za Osama zikoje ?Wao wanadai ilishushwa,
Niliwaambia waandike uzi wao tuone hicho wanachoita kitabu kitakatifu Kama si stori za osama.
Katika vitu ambavyo huwa nasisitiza humu ndani ni kuwa, muwe mnasoma haya mambo sio mnajiandikia andikia, yaani mtu anakuja kubisha juu ya kitu ambacho kila anachoandika kuhusu hicho kitu anakosea. Wengi mpo hivyo humu ndani, maana yake mnakuja humu kupotezea watu muda.Mi nimesema huyo aliyeandika hiyo Quran ndo alisoma Biblia kwanza. Wewe binafsi ukisoma Biblia na Quran lazima utagundua hilo. Quran imejaa mawazo ya kibinadamu.
Kwani Quran aliandika Nani?
Mkuu kisai,Kwako wewe Stori ni nini ? Stori za Osama zikoje ?
Kwanini hamko serious vijana ? Ndio maana hata hoja hamna, zaidi ya kuwapotezea watu muda.
Wewe ndio unatakiwa ulete hoja sio Mimi. Mola wetu snajitosheleza na anafanya anavyotaka yeye, Wala hana haja ya kukotetea ? Yaani ajitetee ili iweje ?Mkuu kisai,
Pole najua inakuuma
Ulishaongea kila mtu ni muislamu kwa madai yako wewe. ILa sikukuona wa ajabu mungu wako kashindwa kujitetea upo unamtetea wewe hapa.
Hana tofauti na kinda la ndege anasubiri kulishwa na mamaye!
Fungua uzi wako wa Quran tuone kama kweli sisi sote ni waislamu
Karibu tujadili mada.
Bado upo unamtetea hapa yeye amekaa Kama mwehu akitafuta jalala jipya! Huoni unafanya kazi isiyokuhusu?Wewe ndio unatakiwa ulete hoja sio Mimi. Mola wetu snajitosheleza na anafanya anavyotaka yeye, Wala hana haja ya kukotetea ? Yaani ajitetee ili iweje ?
Hapa nasubiri hoja.
Kingine siwezi kujadiliana kuhusu Qur'an na mtu ambaye haijui Qur'an.
Kijana naona huna hoja ukiwa na hoja niambie.Bado upo unamtetea hapa yeye amekaa Kama mwehu akitafuta jalala jipya! Huoni unafanya kazi isiyokuhusu?
Tulishaagana mwanzo sijui nini kikasababisha kurudi hapa?
nafikiri Umeona uzi huu unasemaje?
Karibu tujadili mkuu.
Pole kuendekeza mapenzi!Kijana naona huna hoja ukiwa na hoja niambie.
Poa.Pole kuendekeza mapenzi!
Unashindwa kujadili kilichopo pumzika mdogo wangu.
Ahsante kwa kushindwa kwako
Nikutakie siku Njema.
Quran haijaandikwa? Hebu nipe hiyo aya inayoonyesha ilikuwepo tu mbinguni na haijaandikwa, acha kufanya mawazo yako yawe ndo uhalisiaQuran haijaandikwa, ilikuwepo mbinguni toka milele!malaika ailkuwa anachukua vifungu anamshushia Muhammad.
Sasa Wewe unaeruka ruka mara ooh sijui aliyeandika alisoma Biblia.
Nimekuuliza Weka ushahidi hapa nan kaiandika, kama hata humjui mwandishi basi unadandia mada ambazo ziko juu ya upeo wako.
Nimekuamini kwamba huyu jamaa ni wa ovyo eti anasema ilikuwepo tu mbinguni na haijaandikwaMkuu clever,
huwezi kumuambia kitu huyo mtu. Inahitaji uwe mpumbavu wa mwisho kuambiwa kwamba kitabu kilishushwa Halafu akashushiwa Muhammad
Inabidi uwe mpumbavu wa mwisho kukubali ngano hizo za kiarabu.
Utapoteza nguvu zako tu waandae uzi wao.
😂😂😂 Kuna mtu anasemaga “imani ni shambulio la akili”Nimekuamini kwamba huyu jamaa ni wa ovyo eti anasema ilikuwepo tu mbinguni na haijaandikwa
Ooh Men. Mkuu Try me....mkuu unaelewa maana ya hiyo dhana?au ndio uko kwenye kilele cha hang over?
wenzako wanakwambia mpaka ukubali kwamba Yesu ni mwokozi wako,utaokoka,ww unadhani mpaka wafiraji watabebewa dhambi hizo bila kumpokea?
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Mkuu unafahamu kitu kinaitwa "gullible" ..Mkuu clever,
huwezi kumuambia kitu huyo mtu. Inahitaji uwe mpumbavu wa mwisho kuambiwa kwamba kitabu kilishushwa Halafu akashushiwa Muhammad
Inabidi uwe mpumbavu wa mwisho kukubali ngano hizo za kiarabu.
Utapoteza nguvu zako tu waandae uzi wao.
Allah wako wangapi. kwanini ametumia wingi "WE HAVE"Ash-Shura 42:7
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَآ إِلَيْكَ قُرْءَانًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ ٱلْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ ٱلْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِۚ فَرِيقٌ فِى ٱلْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِى ٱلسَّعِيرِ
English -
And thus We have revealed to you an Arabic Qur’ān that you may warn the Mother of Cities [i.e., Makkah] and those around it[1] and warn of the Day of Assembly, about which there is no doubt. A party will be in Paradise and a party in the Blaze.
Swahili
Na namna hivi ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
Mkuu,Mkuu unafahamu kitu kinaitwa "gullible" ..
Huwa nashangaa kwanini watu wanakuwa Gullible kiasi cha kushindwa kujua Ukweli...Hivi ni kwamba wameambiwa nini hicho kisivhohitaji kuvhunguxwa na akili zao
Gullible ni someone who Is Dumb enough to be easily Lied to...Mkuu,
Nieleweshe Gullibe maana yake?🙏🏽
Nimekuelewa sana.Gullible ni someone who Is Dumb enough to be easily Lied to...
Yaani ukiona Mtu unaweza kundanganya Kitu ambacho wewe mwenyew unaona ni uongo hata mtoto mdogo hwezi kubali na ukafanikiwa kumdangany thats Gullible..
Kumdangany mtu kwamba Kuna wakati wowote malaika alishuka huo ni uongo tumekuwa tukiusikia Tangu tunazaliwa na hakuna hata mmoja amewahi kuthibitisha kutokewa na malaika..
Hiyo inathibitisha Hawa watu hawapo...
Kuamini Kuwa Kuna maneno yalishushwa kutoka mbinguni...
NA kuamini kwamba Kuna mbingu na ina watu wanaishi na kuna mimea ipo huu ni uongo..
Kwa sababu tuna sahau tupo in the middle of the space na hewani hakuna kitu chchte tumezungukwa na nyota na sayari pamoja vinaunda gakaxy na galaxy nyingi zinaunda universe then mbingu iko wapi?
Thats Gullible
jibu la kwamba alikuja kufanya nini,rejea maana ya neno Immanuel,yaani Mungu pamoja nasi.Ooh Men. Mkuu Try me....
Naielewa Dhana hii....Vizuri kabisa na sana!
Na kama ulivyosema wwle Ni dhana na ndivyo ilivyo...
Mkuu ulitakiwa kusoma biblia yako vizuri..
Ezekieli 18:20-23
Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.
Lakini mtu mbaya akighairi, na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kuzishika amri zangu zote, na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.
Dhambi zake zote alizozitenda hazitakumbukwa juu yake hata mojawapo; katika haki yake aliyoitenda ataishi.
So Thanks kwamba hiyo ndo ilikuwa njia ya tangu zamani kuacha dhambi na kuwa huru
so swali Linakuja kama Bado inatumika hiyo Njia then alikuja kufanya nini na akawa kafara!...
Na hakuna kitu kama kuokoka Duniani Mkuu
Hii pia ni imani yako kwamba quran ni perfect!!But the Quran is perfect. Allahu akbar