Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

Subiri waje wakuulize , Mungu anazaliwa ? Mungu anakubali kufa kizembe bila kujitetea?

Yesu ni Mungu kamili ila tu alipovaa mwili wa kibinadamu akaonekana ni binadamu kamili.
Hilo andiko 'wakujue wewe Mungu mkuu na yesu kristo uliyemtuma'..huwa hamlizingatii kabisa!?..kwa hiyo yesu ndiyo Mungu wa Ibrahim,nuhu,lut nk!?
 
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Maigizo hayo ya filamu ya Yesu ni sawa na maigizo mengine ya muvi.

Yesu huyo ni Fictional character.
 
Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani.

Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani haikuwa nyepesi kuigizwa kwani walikumbana na dhoruba kubwa la radi kiasi cha kushindwa kuigiza hivyo wakasubiri siku inayofuata. Haikubadilika, Hali ilitulia lakini baada ya Decon kuwekwa msalabani upepo mkali ulivuma, lakini hawakukata tama. Movie ya yesu ya Brian Deacon ndio movie mpaka sasa inayoshikilia rekodi ya Dunia ya kutazamwa mara nyingi na pia inashikilia rekodi ya movie iliyotafsiriwa kwenda lugha mbalimbali Duniani. Movie hii ilichezewa huko katika milima ya nchini Israel. Na mpaka leo hii Director (Muongozaji) wa filamu huyo hajulikani ni nani. Na baadhi ya waigizaji walishafariki na muigizaji mkuu aliyeigiza kama Yesu sasa ana takribani miaka 75 mwaka huu 2024.

Mikasa Haikutokea kwao tu kina Deacon bali hata kwenye movie ya Passion of Christ ya 2004, Muandaaji wa hiyo filamu, Mel Gibson alielezea songombingo la namna hiyo, walisitisha kuigiza filamu hiyo kwa siku tatu mfululizo kutokana na radi za mara kwa mara zilizoibuka tu na tetemeko la ardhi, anasema hata Jim Caviezel aliyeigiza kama Yesu alinusurika kuuwawa na radi. Pia alikumbwa na magonjwa mbalimbali ya mapafu ikiwemo Pneumonia, pamoja na kuishiwa joto la mwili. Filamu hiyo iliigizwa huko Italia katika kipindi cha majira ya baridi kali.
Acha UONGO Mhaya . Hizi story za wanywa Gongo usilete kwenye mitandao ya jamii.

Nimetazama Interview zote za actors wa Movie zote hizo na hakuna popote wametaja changamoto ya aina yyt uliotaja wewe

Unadai Directors hawajulikani.
Directors wa Hio Movie ni Peter Sykes na John Krish,

Leta Ushahidi kuwa yalitokea yaliotokea. Sio kubwabwaja tu kwa sababu unazojua wewe.
Usilete jazba za uefeso kwenye mtandao ambao unasomwa na wengi.
 
YESU ni MUNGU

Hiyo Mikasa ni ishara ya kuwa hafananishwi na chochote.
Wapi Yesu kasema yeye ni Mungu?
Na wapi umewahi kuona Mungu ANASALI na KUOMBA?
Anajiomba Yeye bila kujua au Ana double personality?
 
During filming, he was struck by lightning, scourged by accident, dislocated his shoulder, and suffered from pneumonia and hypothermia. Prior to filming, Gibson reportedly warned Caviezel that playing Jesus in his
So are you tell us Thunder hate the crew or the Movie? [emoji1]

Have you ever heard "marketing strategy "!

Hio kiswahili inaitwa Chachandu ya wapambe.
Hakuna cha radi wala mvua.
 
Moja ya mafanikio makubwa sana kwa yule mnaemuita shetan na kanisa katolic ilikuwa ni kumfanya shetan mwenyewe aabudiwe kwa kuwajengea wanadamu full picture ya mwanae yesu kristo alikuwa vipi.

Tungekuwa na akili timamu za kuhoji na kuuliza nini madhumuni ya hizo filamu kutengenezwa yalikuwa yapi basi tungekuwa mbali sana.

Wajinga watajua na wanaendelea kujua lengo la hiyo filamu ya huyo yesu ni kuwafundisha habari za yesu sijui na biblia kumbe si kweli, dhumuni kubwa lilikuwa ni kubrain wash watu na kuwajengea imani potofu, mawazo potofu na ujinga kichwani kwa kuwaaminisha kuwa
[emoji117]Yesu alikuwa mzungu/mtu mweupe
[emoji117]Yesu aliishi middle east
[emoji117]Yesu alikuja duniani kutukomboa ktk dhambi, ilihali dhambi bado zipo
[emoji117]Yesu alikuja kwaajili ya taifa lake pendwa la uongo hapo middle east
[emoji117]yesu alikaa kaburini siku3 wakat huo ukiisoma biblia utagundua ni siku 2 tu.
[emoji117]yesu alikuwa na wanafunzi 12 pekee kumbe si kweli
[emoji117]Yesu ni mwana pekee wa Mungu, kumbe si kweli, kila kiumbe ni mwana wa Mungu, alafu kama yesu ni mwana wa Mungu je anawezaje tena nae kuwa Mungu?


Kiufupi lengo la hao waabudu shetan na wakatolic walifanikiwa sana kupitia hii muvi na ndio maana ilipotoka tu kuna juhudi kubwa sana zilifanyila kuipromote, kuwajaza watu akilini kilazima haswa watoto kwa kuwaonesha bure sinema hiyo kupitia mashirika yao ya kidini na makanisa, kupitia michoro na majarida ya kidini na yasiyo ya kidini.

Tujiulize why kama hakuna mpaka sasa ajuaye rangi ya Yesu na uhalisia wake lkn hizo muvie zenu na makala zenu za kidini zinaforce tuamini muonekano wa huyo yesu ni mweupe Wapi walielezwa na biblia?

Lengo lao lilitimia hasa afrika walikojaa wajinga na wapumbavu wasiotumia akili.

Fuatilien vzr hao walioigiza hizo muvi za yesu picha walitoa wapi? Na kwann kulifanyika interview ya kuchagua actor wa muonekano fulan why wasichukue yeyote? Huyo mwenye hiyo sura walitumia kigezo gan kumchagua aigize hiyo filam?

Ukipata majibu haya kamwe hutokanyaga kanisani tena wala hutotaka hata nduguzo na rafiki zako waitizame hiyo picha chafu na yakishenzi ya huyo yesu wa uongo.

Tuamkeni jamani tunapigwa kweupe.
 
Kupitia filamu hii ya mwanzo iliokoa mamilioni ya watu ulimwenguni wamgeukie Yesu.
So ilikuwa ni mitihani ya shetani ili isifanikiwe kutoka.
Jesus filamu ndio za mwanzo zilizogusa hisia za mamilioni ya watu ulimwenguni
Kwa hizi akili kulikuwa na ulazima tu tuendelee kutawaliwa maana unaitia aibu JF na familia yako.

Yaani ushindwe kuokoka kwa kuamini biblia na mafundisho ya viongoz wa dini, uje uokoke kwa kuamini picha na hadithi za sanamu mlizokatazwa msizifanye wala kuzifanya sehemu ya ibada zenu, je hamuon mnashiriki ibada ya sanamu? Iko wapi imani hapo? Kwa hiyo bila huo uchafu wa filam hao mamilioni wasingeokoka?

Bado tuna safar ndefu sana ya kutokomeza ujinga wa aina hii Nchini na afrika kiujumla.
 
Kwa hizi akili kulikuwa na ulazima tu tuendelee kutawaliwa maana unaitia aibu JF na familia yako.

Yaani ushindwe kuokoka kwa kuamini biblia na mafundisho ya viongoz wa dini, uje uokoke kwa kuamini picha na hadithi za sanamu mlizokatazwa msizifanye wala kuzifanya sehemu ya ibada zenu, je hamuon mnashiriki ibada ya sanamu? Iko wapi imani hapo? Kwa hiyo bila huo uchafu wa filam hao mamilioni wasingeokoka?

Bado tuna safar ndefu sana ya kutokomeza ujinga wa aina hii Nchini na afrika kiujumla.
Unajua maana ya sanamu,nani anaiabudu filamu ya Yesu au watu wanaokolewa kupitia ujumbe wa filamu iliyotafsiri Biblia.
Yaliyomo kwenye filamu ndiyo maisha halisi na ujumbe halisi wa Yesu Kristo kupitia maandiko.
 
Kwa hizi akili kulikuwa na ulazima tu tuendelee kutawaliwa maana unaitia aibu JF na familia yako.

Yaani ushindwe kuokoka kwa kuamini biblia na mafundisho ya viongoz wa dini, uje uokoke kwa kuamini picha na hadithi za sanamu mlizokatazwa msizifanye wala kuzifanya sehemu ya ibada zenu, je hamuon mnashiriki ibada ya sanamu? Iko wapi imani hapo? Kwa hiyo bila huo uchafu wa filam hao mamilioni wasingeokoka?

Bado tuna safar ndefu sana ya kutokomeza ujinga wa aina hii Nchini na afrika kiujumla.
[emoji3][emoji3]Yani wewe ndo unaijua biblia kuliko warumi? Duuh kweli hali ni tete, any way tuthibitishie huyo mungu asieonekana anaejua kila kitu na ana upendo wote kuwa yupo ili utata uishe.
 
Achana na Titanic... Filamu ya Yesu ya mwaka 1979 ndio inaongoza kwa kutazamwa zaidi Duniani

Titanic ilikuwa inashikiliwa record ya filamu yenye mauzo makubwa, ila badae 2010 Movie ya AVATAR ikapindua na kuvunja record ya Titanic na kuifanya AVATAR kuwa ndio filamu yenye mauzo ya juu zaidi.

Jua kutofautisha Filamu kutazamwa zaidi na Filamu kuuza zaidi... Hivyo ni vitu viwili tofauti.

Filamu ya YESU ya mwaka 1979 imetazamwa karibia Duniani kote, na bado inazidi kutizamwa
Avatar ina maajabu gani
 
Wagalatia acheni kupiga promo ya imani yenu kwa kuzusha vitu ambavyo sio kweli.
Huko ni kudhalilisha imani yenu km wanadhalilisha hao manabii wa UONGO wanaozaliwa kila siku.

Nimemuona Mwingine katokea Usukumani anajiita YESU .
Eti kaja kuwakomboa Wagalatia wote Wanaoibiwa Sadaka zao.
Ye kaona akomboe sadaka tu.
Mengine hana mpango nayo.
Na nyie mmekaa kimyaa bila kumpa challenge yyt.

Mimi ningekuwa upande wenu ningekuwa wa kwanza kumpinga na kumkana kila MUONGO ktk imani yenu. La tatizo wengi wenu ni wachumia tumbo.

Poleni sana.

Mungu wa kuabudiwa ni MMOJA TU. ACHENI kufru mtaangamia.
 
Back
Top Bottom