inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hilo andiko 'wakujue wewe Mungu mkuu na yesu kristo uliyemtuma'..huwa hamlizingatii kabisa!?..kwa hiyo yesu ndiyo Mungu wa Ibrahim,nuhu,lut nk!?Subiri waje wakuulize , Mungu anazaliwa ? Mungu anakubali kufa kizembe bila kujitetea?
Yesu ni Mungu kamili ila tu alipovaa mwili wa kibinadamu akaonekana ni binadamu kamili.
Tukae na popcornDabi ya wafuasi na wagalatia soon kitawaka hapa
Njoo tukae seat za huku juu Kwa Hapo ulipokaa damu inaweza kukurukiaTukae na popcorn
Mh hii ligi ya udini hii ,..
YESU Kristo ni MUNGU mkuuFikiria vizuri kabla ya kumuita Yesu kuwa ni Mungu
Mungu anaukuu wa hali ya juu na hafanishwi na kitu chochote!
Nilishawahi kumuona Mwanza igoma, anaitwa zumaridi.Kwani wewe mwenzetu Mungu ulimuona wapi?
Acha UONGO Mhaya . Hizi story za wanywa Gongo usilete kwenye mitandao ya jamii.Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani.
Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani haikuwa nyepesi kuigizwa kwani walikumbana na dhoruba kubwa la radi kiasi cha kushindwa kuigiza hivyo wakasubiri siku inayofuata. Haikubadilika, Hali ilitulia lakini baada ya Decon kuwekwa msalabani upepo mkali ulivuma, lakini hawakukata tama. Movie ya yesu ya Brian Deacon ndio movie mpaka sasa inayoshikilia rekodi ya Dunia ya kutazamwa mara nyingi na pia inashikilia rekodi ya movie iliyotafsiriwa kwenda lugha mbalimbali Duniani. Movie hii ilichezewa huko katika milima ya nchini Israel. Na mpaka leo hii Director (Muongozaji) wa filamu huyo hajulikani ni nani. Na baadhi ya waigizaji walishafariki na muigizaji mkuu aliyeigiza kama Yesu sasa ana takribani miaka 75 mwaka huu 2024.
Mikasa Haikutokea kwao tu kina Deacon bali hata kwenye movie ya Passion of Christ ya 2004, Muandaaji wa hiyo filamu, Mel Gibson alielezea songombingo la namna hiyo, walisitisha kuigiza filamu hiyo kwa siku tatu mfululizo kutokana na radi za mara kwa mara zilizoibuka tu na tetemeko la ardhi, anasema hata Jim Caviezel aliyeigiza kama Yesu alinusurika kuuwawa na radi. Pia alikumbwa na magonjwa mbalimbali ya mapafu ikiwemo Pneumonia, pamoja na kuishiwa joto la mwili. Filamu hiyo iliigizwa huko Italia katika kipindi cha majira ya baridi kali.
Wapi Yesu kasema yeye ni Mungu?YESU ni MUNGU
Hiyo Mikasa ni ishara ya kuwa hafananishwi na chochote.
So are you tell us Thunder hate the crew or the Movie? [emoji1]During filming, he was struck by lightning, scourged by accident, dislocated his shoulder, and suffered from pneumonia and hypothermia. Prior to filming, Gibson reportedly warned Caviezel that playing Jesus in his
Kwa hizi akili kulikuwa na ulazima tu tuendelee kutawaliwa maana unaitia aibu JF na familia yako.Kupitia filamu hii ya mwanzo iliokoa mamilioni ya watu ulimwenguni wamgeukie Yesu.
So ilikuwa ni mitihani ya shetani ili isifanikiwe kutoka.
Jesus filamu ndio za mwanzo zilizogusa hisia za mamilioni ya watu ulimwenguni
Unajua maana ya sanamu,nani anaiabudu filamu ya Yesu au watu wanaokolewa kupitia ujumbe wa filamu iliyotafsiri Biblia.Kwa hizi akili kulikuwa na ulazima tu tuendelee kutawaliwa maana unaitia aibu JF na familia yako.
Yaani ushindwe kuokoka kwa kuamini biblia na mafundisho ya viongoz wa dini, uje uokoke kwa kuamini picha na hadithi za sanamu mlizokatazwa msizifanye wala kuzifanya sehemu ya ibada zenu, je hamuon mnashiriki ibada ya sanamu? Iko wapi imani hapo? Kwa hiyo bila huo uchafu wa filam hao mamilioni wasingeokoka?
Bado tuna safar ndefu sana ya kutokomeza ujinga wa aina hii Nchini na afrika kiujumla.
[emoji3][emoji3]Yani wewe ndo unaijua biblia kuliko warumi? Duuh kweli hali ni tete, any way tuthibitishie huyo mungu asieonekana anaejua kila kitu na ana upendo wote kuwa yupo ili utata uishe.Kwa hizi akili kulikuwa na ulazima tu tuendelee kutawaliwa maana unaitia aibu JF na familia yako.
Yaani ushindwe kuokoka kwa kuamini biblia na mafundisho ya viongoz wa dini, uje uokoke kwa kuamini picha na hadithi za sanamu mlizokatazwa msizifanye wala kuzifanya sehemu ya ibada zenu, je hamuon mnashiriki ibada ya sanamu? Iko wapi imani hapo? Kwa hiyo bila huo uchafu wa filam hao mamilioni wasingeokoka?
Bado tuna safar ndefu sana ya kutokomeza ujinga wa aina hii Nchini na afrika kiujumla.
Avatar ina maajabu ganiAchana na Titanic... Filamu ya Yesu ya mwaka 1979 ndio inaongoza kwa kutazamwa zaidi Duniani
Titanic ilikuwa inashikiliwa record ya filamu yenye mauzo makubwa, ila badae 2010 Movie ya AVATAR ikapindua na kuvunja record ya Titanic na kuifanya AVATAR kuwa ndio filamu yenye mauzo ya juu zaidi.
Jua kutofautisha Filamu kutazamwa zaidi na Filamu kuuza zaidi... Hivyo ni vitu viwili tofauti.
Filamu ya YESU ya mwaka 1979 imetazamwa karibia Duniani kote, na bado inazidi kutizamwa