Mikasa/vituko vya lodge

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye huu uzi nadhan wewe ndo umekumbana na Mikasa ya ajabu !!!! Gest ina choo Cha nje Kama klabu za pombe
 
HAHA HA HAHA HA
 

Mkuu hilo tukio lako namba tano na mimi lishawahi kunitokea, halafu nimeamka asubuhi namsema Manzi anajifanya kuomba msamaha tu. Kwa hasira nikamfukuzia mbali hata ujira wake sikumpa.

Nikawa najiuliza kuwa niliwahi kusikia ukilala lodge chumba kikiwa na uchafu wa ziada kama vile damu au mkojo unapewa sabuni na maji ufue mwenyewe. Sasa si aibu hii.
Kipindi nipo kwenye dimbwi la mawazo sijui nifanye nini namsikia mtu anamfanya usafi nje, nikafungua mlango nikamuona mama mtu mzima kidogo ndio mfanya usafi nikajisemea huyu kwa umri wake atanistiri hii siri.

Nikamwita ndani alisita alijua labda nina lengo baya kwake nikamwambia ondoa shaka mimi ni mtu mwema kabisa. Alipoingia nikamueleza yaliyonisibu huku nina hofu nikashangaa anaanza kucheka. Kumuuliza unacheka nini akasema kwenye kazi yangu kwa jambo hili wewe sio wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho ondoa shaka nitakusaidia vizuri umeniambia ukweli. Akachukua shuka akazitoa nje na kuniletea nyingine, akaangalia kama kuna watu alivyogundua hakuna akatoa nje godoro kuanika na kuleta godoro lingine harakaharaka.

Akaniambia kazi imekwisha, nikamuuliza sasa hili godoro umelitoa wapi, akajibu kwenye chumba kingine ambacho mteja ameshaondoka nitasema kwa muhudumu mteja wa chumba hicho alikojoa kitandani ndio maana ameondoka mapema kukimbia.

Aisee palepale nilimpa Sh. Elfu kumi na nilipanga kukimbia ile Lodge ila nilikaa pale pale nilipomaliza mambo yangu na kuondoka mkoa ule.
 
Umenikumbusha mambali nilipiga mswaki tu kesho yake nikarudi nzega palinishinda
 
Hapa ni trauma ndiyo iliwaunganisha kama ambavyo ulisema ndiyo iliwafanya muwe pamoja mpaka leo. Mliathirika kisaikolojia.
 
Hahahah Kuna sehemu hata kwa mbinde. Huwez kunipeleka. Ni Bora utamu ukosekane tu.

Na nikifika, situmii taulo zao. Hata hayo mashuka yenyewe nayatazama Mara 2 mbili. Kwa kweli Bora kuwa na gheto.
Naomba nikupeleke Kama hutojali kwa mpalange
 
Mwanza nilifikia hotel moja mjini pale floor ya pili, kwa chini kuna bar , nikaenda nikapata demu muhudumu pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake.
Demu walivofunga akaja kwangu, watu wakamsanua mwana...ulikua ni shida hio siku.
Wanawake hawa hawajitambuii... yani shida sanaa
 
Kuna gest nilichukua makambako, ile gest mhudumu ni mmaza hiv, sasa nilifika mchana nikachukua room kisha nikatoka nikaenda club kula tungi.

nilirudi night kali niko vyoooombo kichizi yan, nilileta noma kichizi pale gesti, asubuhi naamka kukabidhi chumba, yule maza akaniambia ebu kaa hapo tuongee.

akaanza kunipa wosia.."kwamba oooh we bado mtoto mdogo unalewa sana, yaani hapo ulipo hata 30 hujafikisha, cha ajab hata kuoa bado, hizo pombe mlikuwa mnashindana???..""unarudi usiku siku nyingine sikupokei"..hakujua mi mwenyewe sikuipenda ile gest..nilibugi tu
 
Una utoto na ushamba mwingi. Umeandika kwa furaha kama vile ulifanya jambo la maana kumbe la kipumbavu. Huo ulevi ndo huwa mnapasuliwa yai. Badala ya kujihurumia. Unaandika kwa kujisifia Upumbavu na Ushamba.

Watu wajanja huwa wanakunywa pombe kwa starehe na si kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…