kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
- Thread starter
- #181
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye huu uzi nadhan wewe ndo umekumbana na Mikasa ya ajabu !!!! Gest ina choo Cha nje Kama klabu za pombeNina vituko kadhaa maana nimetembea kidogo hii nchi.
1.Nilikuta kitanda cha zege kama kaburi Tunduru, nikakataa kulala
2. Musoma mjini nililala guest imejengwe kama U milango inatazamana nimelala usiku kuna mwanamke alikuwa anapiga kelele hadi tukaamka karibia vyumba vyote isipokuwa cha huyo mwanamke
3.Korogwe kuna msela tulikuwa nae alichukua mwanamke wakati wanaingia hatukumuona sasa wameanza mambo usiku kelele balaa tukajua jamaa kachukua katoto anakatesa asubuhi tukawahi kuamka tushuhudie huyo binti,alipomtoa lilikuwa boge la dude la mjimama tukabaki kushangaa
4.Musoma vijijini nilishawahi letewa taulo usiku wa saa 8 huku narembuliwa nikamwambia sihitaji taulo kwa sababu kati ya kitu ambacho siwezi tumia ni taulo la guest.
5.Nilishawahi chukua mzigo pale tabora club iko opp na chuo cha uhazili yule binti akamwaga kojo moja matata sana kitandani ilibidi asubuhi nimtoe mama usafi ili afanye extra usafi room niliyokuwemo.
6.Mambali Nzega nililala guest nikauliza pa kuoga nika ambiwa unaweza oga hapo nje au bafu liko kule kwenda kucheck bafu ni chafu nikarudi kulala asubuhi tukaondoka na mwanangu suka hadi igunga ndio tukaoga lodge tuliyofikia tulikuwa na kazi pale.
7.Manyoni nililala kijijini bafu ni passport size nilikuwa naoga lakini kuanzia tumbo kuja juu naonekana