Mikasa/vituko vya lodge

Alafu nyuchi zinanukia ile harufu yake natural[emoji39][emoji39]
Noma mkuu... wasandawe hawavumi lakini wamo yani ukiona hizo pisi za huko, huwezi amini kama ndio wale tunaowaonaga kwenye "THE GODS MUST BE CRAZY" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaa, si mchezo inaonekana jamaa ni tabia yake tangu utoto
 
Kuna watu hamna akili na mnaonyesha n jinsi GANI uelewa kwenu n mdogo yan ujinga umewatawala alafu kuna mwingine kila Uzi lazima alete kujuana na watu.

ELEKEZO - elewa mada husika changia kama mada inavyosema huna cha kuchangia Kaa kimya mambo ya kijinga ya kujuana na kukumbushana ujinga wenu angalia juu ya simu Yako kulia kuna kibahasha bonyeza hicho na umwandikie huo ujinga mwenzako.
 
Mkuu mwaka gani iyo ..

Nilikua kwiro pale 2007-2010.. tumepanda sana mafuso..

Mabasi machache afu kipindi cha mvua hayaendi. Nakumbuka moro best na ile chimpanzee [emoji2]
2013,,Nlikua na tempo pale halmashauri, kipindi nasubiri matokeo niende chuo !

Nlikua na kadem St Agnes, full kuteleza, siku za j2 kanatoroka kanisani kananiletea chap alafu kanawahi kabla ibada haitatoka !!!

UDECO nimekula Sana maisha pale, unacheza na kidem kinakung'ang'ania [emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]!!
 
Uzi umeingiliwa na masela wanaomchatisha binti aliyewahi kuishi mahenge kwa dada yake. Tunawazoom mnavyopambana kumchatisha ili mpate kumla kimasihara.

Ikiwapendeza tungeomba mmalizane PM ili na sie tushushe shuhuda zetu za vituko vya lodge kama uzi unavyojieleza.

Naomba kuwasilisha [emoji1666]
 
Wanakera sana nawazoom tu, ujinga ujinga tu umewajaa, sisi tunataka vituki vya lodge wao wanaleta habari za mahenge sijui agness utumbo mtupu. Wapelekane PM huko kama hawana shuhuda wutulie. Wanaboa

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ghaiiii 😂😂
 
Hadi kwenye uzinifu mnamuomba Mungu?
Utastaajabu hata muuaji kabla ya kuua huomba Mungu.

Mungu hukupitisha katika mitihani hata ikiwa si mcha Mungu ili kukusogeza karibu zaidi na yeye. Huwez juwa labda baada ya kutoka salama matendo yangu pia yaliongoka na kuacha zinaa.

Linapokuja swala kuomba Mungu hilo daima huwa ni la Mola na kiumbe chake, maana hata Mungu alisema ni yeye pekee anaemjua zaidi mbora baina yetu. Hivyo sheikh/askofu hukumu tumuachie maulana.
 
Hiyo ipo Bagamoyo Stela Maris Hotel kulala 100k na ukiwa na mtu wako ni 170k.
 
Nilikuwa mwezi wa kumi Ludewa kidogo guest nzuri wamejenga na barabara imepgwa lami bado kidogo wamalize, stendi ipo vilevile, wakat wa kurudi nilipita manda, lituhi ziwani uko then nikaibukia songea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…