Igunga 2000s
Nilipata lodge moja mpya mpya hivi. Siku ya pili nikampa mistari muhudumu akanielewa ila akaniambia nihame lodge ili aje kulala kwa uhuru. Nikahama ila jioni nikaenda pale kwake kupata msosi.
Sasa pale alikaa na jamaa pembeni kila akihudumia anarudi pale. Nimamtext vipi akajibu jamaa anamsumbua sana na pia ni polisi .
Usiku akaja lodge kwangu nikala mzigo tukalala. Usiku saa 6 nasikia sauti kwenye korido kumbe askari wanakagua wageni. Demu akanitonya amesikia sauti ya yule jamaa anayemsumbua kwa hiyo nijiaandae kwa lolote. Ikafika zamu yangu jamaa wakakomaa sikuandika kwenye daftari halafu niliyelala naye aamke naye ahojiwe....Hakuna namna ikabidi aamke. Yule askari akamtambua yule demu, akaweka ngumu nikalale kituoni kwa kosa la kutoandika kwenye daftari la wageni. Wakanitoa nje demu akabaki ndani.
Nikaona nikileta masihara nitalala polisi.Nilikuwa nafahamiana na DC. Usiku ule nikampigia akaongea na askari wakaniacha. Yule askari akaniweka pembeni akaniuliza kama namkumbuka? Nikamjibu ndio. Akaniambia hongera,yaani yule demu nimemtongoza wiki nzima simpati leo wewe unakula kizembe tu.