Mikasa/vituko vya lodge

Nipo advance nasoma mbeya miaka hiyo ila ili ufike shule kutokea mikoan huku lazima ulale mbeya mjini kwanza.

Siku hiyo nimefika nimechukua chumba gest mitaa ile ya karibu na dox mwanjelwa kama unarudi block t hivi, usiku nimelala nasikia miguno mwanamke analalama ananyanduliwa kutoka kwenye korido sauti ipp juu gest nzima.

Kidume usingizi ukakata genye zikanipanda ikabidi nitoke niende hadi kaunta kufika nakuta wanawake wapo wengi lakini ni ambao wamenizidi umri(kumbuka nipo advance na hapo nimezoea kumega madent wenzangu tu) lakini cha ajabu wamama wananiangalia kwa jicho la matamanio.

Baadae kuja kugundua ni kuwa ile gesti ina wanawake wanaojiuza hivyo atakaetangulia kupata mteja anapiga kelele za mahaba anahakikisha hakuna mwanaume rijali atakaeweza kulala bila mwanamke.

sikurudi tena ile gest nkaamia lodge za uhindini usiku naenda ruka disco pamodzi.
 
M nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....
Mie huku Kikubiji na Mbarika nimesoma shule ya msingi, halafu Nyanhonge zamani kulikua na waarab fulani hivi, halafu vijiji vya huko kuna uchawi wa kufa mtu aisee.
 
Kwahiyo hukupiga?

#MaendeleoHayanaChama
 
Aiseeeee
 
Tulivamiwa aisee sitakaa nisahau ile siku mpk leo nina phobia ya kulala hotel au lodge ambazo sio za ghorofani,yani nahisi ghorofani nipo safe. Hilo tukio lilitufanya tusiachane mpka leo.
Mi pia naogopa sana kulala Lodge mwenyewe niliwahi kulala Lodge asubuhi niwahi bus, usiku kama saa nane hivi nasikia mtu yupo busy anaingiza funguo na kuzungusha kitasa niliogopa, bahati nzuri nilifunga sikuchomoa funguo, nikapiga simu reception eti nikaambiwa ni mlinzi anakagua vyumba visivyo na watu mxyuuuuu saa nane usiku tena giza, yani huwa nawaza angefungua sijui nini kingetokea πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” silali lodge peke angu tena
 
Dah mimi hiyo imenitokea juzi Tunduma. Mida kama hiyo saa 8 usiku nimelala lodge nipo mwenyewe nikasikia kwa nje mtu anajaribu kufungua mlango ameingiza funguo, bahati nzuri na mimi sikua nimechomoa funguo kwa ndani.

Nikauliza kwa ukali wewe ni nani, nikajibiwa na sauti ya kike samahani nimekosea namba.( I was like WTF?)
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mie huku Kikubiji na Mbarika nimesoma shule ya msingi,halafu Nyanhonge zamani kulikua na waarab fulani hivi,halafu vijiji vya huko kuna uchawi wa kufa mtu aisee
Upo sahihi nimelala sana hapo nyahonge...wachawi na story za uchawi ni vinaongelewa hadharan kama vitu normal,ila issue za umalaya nyahonge hakuna watu wanaishi kijamaa sana....Kikubiji nilienda kule kijjn kabisa wanacheza ngoma zao wanaziita mbina hatar mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…