Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Nipo advance nasoma mbeya miaka hiyo ila ili ufike shule kutokea mikoan huku lazima ulale mbeya mjini kwanza.

Siku hiyo nimefika nimechukua chumba gest mitaa ile ya karibu na dox mwanjelwa kama unarudi block t hivi, usiku nimelala nasikia miguno mwanamke analalama ananyanduliwa kutoka kwenye korido sauti ipp juu gest nzima.

Kidume usingizi ukakata genye zikanipanda ikabidi nitoke niende hadi kaunta kufika nakuta wanawake wapo wengi lakini ni ambao wamenizidi umri(kumbuka nipo advance na hapo nimezoea kumega madent wenzangu tu) lakini cha ajabu wamama wananiangalia kwa jicho la matamanio.

Baadae kuja kugundua ni kuwa ile gesti ina wanawake wanaojiuza hivyo atakaetangulia kupata mteja anapiga kelele za mahaba anahakikisha hakuna mwanaume rijali atakaeweza kulala bila mwanamke.

sikurudi tena ile gest nkaamia lodge za uhindini usiku naenda ruka disco pamodzi.
 
M nilikua nakuja kucheza Ndondo kwenye vijiji vya huko.....So kuanzia Hungumalwa,Nyahonge,kawekamo,mwamashimba,mangu,kikubiji,chasalawe,mbarika kote huko....
Mie huku Kikubiji na Mbarika nimesoma shule ya msingi, halafu Nyanhonge zamani kulikua na waarab fulani hivi, halafu vijiji vya huko kuna uchawi wa kufa mtu aisee.
 
Nipo advance nasoma mbeya miaka hiyo ila ili ufike shule kutokea mikoan huku lazima ulale mbeya mjini kwanza.
Siku hiyo nimefika nimechukua chumba gest mitaa ile ya karibu na dox mwanjelwa kama unarudi block t hivi.usiku nimelala nasikia miguno mwanamke analalama ananyanduliwa kutoka kwenye korido sauti ipp juu gest nzima.Kidume usingizi ukakata genye zikanipanda ikabidi nitoke niende hadi kaunta kufika nakuta wanawake wapo wengi lakini ni ambao wamenizidi umri(kumbuka nipo advance na hapo nimezoea kumega madent wenzangu tu) lakini cha ajabu wamama.wananiangalia kwa jicho la matamanio.
Baadae kuja kugundua ni kuwa ile gesti ina wanawake wanaojiuza hivyo atakaetangulia kupata mteja anapiga kelele za mahaba anahakikisha hakuna mwanaume rijali atakaeweza kulala bila mwanamke.sikurudi tena ile gest nkaamia lodge za uhindini usiku naenda ruka disco pamodzi.
Kwahiyo hukupiga?

#MaendeleoHayanaChama
 
Aiseeeee
Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.

Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.

Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.

Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Tulivamiwa aisee sitakaa nisahau ile siku mpk leo nina phobia ya kulala hotel au lodge ambazo sio za ghorofani,yani nahisi ghorofani nipo safe. Hilo tukio lilitufanya tusiachane mpka leo.
Mi pia naogopa sana kulala Lodge mwenyewe niliwahi kulala Lodge asubuhi niwahi bus, usiku kama saa nane hivi nasikia mtu yupo busy anaingiza funguo na kuzungusha kitasa niliogopa, bahati nzuri nilifunga sikuchomoa funguo, nikapiga simu reception eti nikaambiwa ni mlinzi anakagua vyumba visivyo na watu mxyuuuuu saa nane usiku tena giza, yani huwa nawaza angefungua sijui nini kingetokea 😔😔😔 silali lodge peke angu tena
 
Mi pia naogopa sana kulala Lodge mwenyewe niliwahi kulala Lodge asubuhi niwahi bus, usiku kama saa nane hivi nasikia mtu yupo busy anaingiza funguo na kuzungusha kitasa niliogopa....bahati nzuri nilifunga sikuchomoa funguo, nikapiga simu reception eti nikaambiwa ni mlinzi anakagua vyumba visivyo na watu mxyuuuuu saa nane usiku tena giza, yani huwa nawaza angefungua sijui nini kingetokea 😔😔😔 silali lodge peke angu tena
Dah mimi hiyo imenitokea juzi Tunduma. Mida kama hiyo saa 8 usiku nimelala lodge nipo mwenyewe nikasikia kwa nje mtu anajaribu kufungua mlango ameingiza funguo, bahati nzuri na mimi sikua nimechomoa funguo kwa ndani.

Nikauliza kwa ukali wewe ni nani, nikajibiwa na sauti ya kike samahani nimekosea namba.( I was like WTF?)
 
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mie huku Kikubiji na Mbarika nimesoma shule ya msingi,halafu Nyanhonge zamani kulikua na waarab fulani hivi,halafu vijiji vya huko kuna uchawi wa kufa mtu aisee
Upo sahihi nimelala sana hapo nyahonge...wachawi na story za uchawi ni vinaongelewa hadharan kama vitu normal,ila issue za umalaya nyahonge hakuna watu wanaishi kijamaa sana....Kikubiji nilienda kule kijjn kabisa wanacheza ngoma zao wanaziita mbina hatar mzee.
 
Back
Top Bottom