Mikasa/vituko vya lodge

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji23][emoji23] Kote huko naelewa ila hotel ni safi tofauti na huko kwingine. Na kweli kuna muda unakua huna option lazima upambane nazo.
Kuna mda inakulazimu kulala sehemu sio sahihi,,, mfano imetokea umeenda wilayani huko,,, dah changamoto Sana ! Mm huwa nakuwaga na Lile shuka la kimasai kwenye kijibeg Changu ! Ila Kama Ni sehemu nzuri Kuna hotel/lodge ya maana Bora utumie gharama upumzike sehemu nzuri na salama
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakua ni wezi wanashirikiana na watu wa lodge
 
Ngoja nami nishushe visa vyangu

Kuna siku nlikua nmetoka zangu Dom nlipanda magari ya jioni nkaona sotofika home sikuhyo nkaomba mtu anichukulie chumba

Saangapi asinichukulie chumba kilichopo karibu n stand duh, nlifika Saa Saba jaman sikulala ni kunguni tu zlikua znatembea kitandan ikabidi niamke nkae kwenye kiti[emoji17] paka kuche
 
Kuna siku nkawa nmeenda sehem bhn, nikafikia nyumba ya kulala wagen

M nlifika mida ya Saa tisa nkawa nmechoka sikukagua chochote alafu nlikua peke yangu nkajilaza tu [emoji1]

Kushtuka hivi mto nlokua nmelalia n mchafu kuangalia n shuka hvyo hvyo nkashindwa vumilia nkamuita mhudumu, akabadilisha lkn alilalamika usiku mzm kwamba m ndo nmechafua ,kwa madai yake asubuh alibadilisha Kila kitu,

Alikua mama mtu mzima alilalamika sana, nmemuelewesha haelewi paka akawahadithia wenzie, asubuh mapema nkasepa zangu
 
[emoji23] pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…