Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Babati hiyo miaka ya 2014 tumetoka kufanya kazi fulani timu kama ya watu 8 hivi tumefikia Lodge moja, ubaya ile Lodge ilikuwa vyumba vimezunguka so wa Room Na. 1 akitoka anaweza kuonana na mtu wa Room Na 12.
Basi bana Mida ya saa 11 hivi jioni nikaanza kusikia kelele za mwanadada analia Motoooo motooo uwiii nakufaaa hiii unaniumiza....uwiiiii nakufaaa unanichana umeingiza sanaaaaa uwiiiii... Kelele zikazidi kila mtu lodge ikawa kero kwa wote waliokuwepo room kwa muda ule basi Bwana ile nafungua tu Room kwangu nakutana na takribani wengine wote nao wamekaa mlango kwa vyumba vyao wanasikiliza sauti inapotokea..... it was terrible watu wakaamua kwenda kugonga sana mlango ukafunguliwa kwenye ile room, wakakuta kipande cha mtu kinatupia mzigo kwa mdada mdogo mdogo hivi yule dada alipop[ata upenyo tu alitoka bila nguo mle room, mama mmoja akamstiri kwa khanga... jamaa akatoka room kaenda kuwasha gari huyo nduki...dogo akawa anaomba apepelewe sehemu muhimu maana joto lililosababishwa na kupelekewa moto limemzidi!!!
😅😅😅
 
[emoji23][emoji23] Kote huko naelewa ila hotel ni safi tofauti na huko kwingine. Na kweli kuna muda unakua huna option lazima upambane nazo.
Kuna mda inakulazimu kulala sehemu sio sahihi,,, mfano imetokea umeenda wilayani huko,,, dah changamoto Sana ! Mm huwa nakuwaga na Lile shuka la kimasai kwenye kijibeg Changu ! Ila Kama Ni sehemu nzuri Kuna hotel/lodge ya maana Bora utumie gharama upumzike sehemu nzuri na salama
 
emoji23.png
pole. Ila kiukweli kwenda kulala kwenye magesti kunataka moyo bora hotel kama mfuko uko njema.

[emoji23] pole. Ila kiukweli kwenda kulala kwenye magesti kunataka moyo bora hotel kama mfuko uko njema.
Smtmz unatingwa mida imeenda + ugenini + gharama
 
Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.

Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.

Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.

Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah mimi hiyo imenitokea juzi Tunduma. Mida ka hiyo saa 8 usiku nimelala lodge nipo mwenye nikasikia kwa nje mtu anajaribu kufungua mlango ameingiza funguo, bahati nzuri na mimi sikua nimechomoa funguo kwa ndani. Nikauliza kwa ukali wewe ni nani, nikajibiwa na sauti ya kike samahani nimekosea namba.( I was like w.t.f?)
Itakua ni wezi wanashirikiana na watu wa lodge
 
Ngoja nami nishushe visa vyangu

Kuna siku nlikua nmetoka zangu Dom nlipanda magari ya jioni nkaona sotofika home sikuhyo nkaomba mtu anichukulie chumba

Saangapi asinichukulie chumba kilichopo karibu n stand duh, nlifika Saa Saba jaman sikulala ni kunguni tu zlikua znatembea kitandan ikabidi niamke nkae kwenye kiti[emoji17] paka kuche
 
Kuna siku nkawa nmeenda sehem bhn, nikafikia nyumba ya kulala wagen

M nlifika mida ya Saa tisa nkawa nmechoka sikukagua chochote alafu nlikua peke yangu nkajilaza tu [emoji1]

Kushtuka hivi mto nlokua nmelalia n mchafu kuangalia n shuka hvyo hvyo nkashindwa vumilia nkamuita mhudumu, akabadilisha lkn alilalamika usiku mzm kwamba m ndo nmechafua ,kwa madai yake asubuh alibadilisha Kila kitu,

Alikua mama mtu mzima alilalamika sana, nmemuelewesha haelewi paka akawahadithia wenzie, asubuh mapema nkasepa zangu
 
Ngoja nami nishushe visa vyangu

Kuna siku nlikua nmetoka zangu Dom nlipanda magari ya jioni nkaona sotofika home sikuhyo nkaomba mtu anichukulie chumba

Saangapi asinichukulie chumba kilichopo karibu n stand duh, nlifika Saa Saba jaman sikulala ni kunguni tu zlikua znatembea kitandan ikabidi niamke nkae kwenye kiti[emoji17] paka kuche
[emoji23] pole sana.
 
Back
Top Bottom