Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

1. Demu wangu kaniambia anakuja. Hua sipendi kuleta wanawake geto. Nikaenda mtaa wa tatu kuna lodge nikachagua chumba kizuri kabisa, nikakikagua kiko safi, nikakilipia nikaondoka nikawaambia ntarudi baadae. Saa hiyo ilikua kwenye saa tisa.
Mida ya saa 1 usiku demu kanipigia amefika, nikamfuata tukaelekea lodge. Kuingia chumbani tunakaribishwa na kitanda kimevurugika, makasha ya condom sakafuni na condom used! Aisee demu alikua mbogo ananiambia ina maana ulikua na mwanamke mwingine humu. Ilikua mshike mshike. Demu akasepa usiku ule ule.

2. Niko na demu tumeenda loji usiku, tukakuta jamaa wawili. Kuulizia chumba jamaa wakaangaliana, mmoja akamwambia mwingine "wape namba 12". Tukaingia. Ile tumeanza purukushani demu akaniambia "mbona nasikia harufu ya sigara..?" Mmh.. mi siskii chochote. Nikaenda dirishani nikakuta dirisha moja kitasa kibovu halifungi. Nikalirudishia. Dakika 10 nyingi demu ananiambia tena "nasikia harufu ya sigara.. mi sipatani na sigara kabisa..!" Nikanyanyuka tena, kwenda dirishani nakuta dirisha lipo wazi. Kucheki vizuri naona jamaa limechuchumaa kwa chini ya dirisha.

3. Kuna hoteli moja ipo hapo dar (jina kapuni) karibu na kituo kikuu cha mabasi cha zamani. Hii hoteli ina balcony ambazo milango yake ni aluminium na vioo na haina pazia milangoni. Changamoto yake ni kwamba hoteli hii iko muundo wa "L". Kwakua ina madirisha makubwa ya aluminium, kuna baadhi ya vyumba ukiangalia dirishani unaona vizuri kabisa ndani ya chumba kilichopo upande wa pili kupitia mlango huo wa kioo. Tena unaona kitandani!! Pia unapata view nzuri kabisa ya chumba kilichopo floor moja chini. Ni shida.
Hiyo hotel naijua ipo ubungo maziwa
 
Wakuu tiririkeni visa,,,

Wiki iliyopita nilipata safari moja huko mikoa ya kusini), Ni Mara yangu ya kwanza kufika kule, nilifika usiku Kama saa 4, nikachukua boda akanipeleka lodge moja hivi.

Nimefika nikaulizia vyumba reception, nilimkuta Ni mmama hivi age Kama 42+ kwa makadirio (Ni Yale mashangazi) , akanipokea na kunipa chumba.

Wakati yupo mbele na mm namfata kwa nyuma tunaelekea vyumbani ili anioneshe, nikamtania upo vizuri leo inabidi unipe kampani siwezi kulala peke yangu.

Akacheka akasema huogopi Mimi Ni Kama mama yako, ningepata mimba wakati navunja ungo si ningekuzaa kabisa ? Nikamuambia umri namba tu!

Akanijibu ikifika mida ya saa sita(wateja wanakua wamekata) niende kule kaunta yeye hawezi kuja vyumbani kwa wateja akionekana kazi Hana, nikamuambia powA.

Wakuu sikwenda, asbh yake naondoka akaniuliza baba mbona hukuja Tena, nikamjibu nilichoka sana nikasinzia, nikampa 5k ya supu, alifurahi Sana nikasepa zangu! alikuwa mrahisi nikaogopa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dodoma kulikua na mavikao sijui ya CCM kuhusu nini hakuna gesti kuzunguka na bodaboda tu 60 ililala na gesti sikupata.

Nikaja kupata four ways tena kuna mtu alikua anatoka chumba kilikua kinanuka mimavi na mimikojo kama nini .Kwa hasira nikaangusha Harrison Mwakyembe mbili size ya kati na Konyagi kina kifupi.

Kuamka saa 9 mchana nikadaiwa ya siku mbili.Kuna ligesti liko Iringa road sijui linaitwaje lina chumba na sebule na jamaa wa mapokezi mtu poa sana nilikaa week .Jamaa full kuniletea mizigo ,vumbi na juisi za kongo .

Mara ya mwisho akaniletea libibi halitaki pesa linataka fimbo ya msai tu ilikua patashika.
 
baada ya kukosa lodge nikapata moja mida ya saa saba, kuingia imetumika kumevurugwa, maji chapa chapa, mataulo mabichi, hewa nzito ya jasho km watu walikuamo muda si mrefu!!
Nje usalama mdogo,ikabidi nilale juu ya meza ilikuwepo room,kuskilizia ni maumivu ya mgongo isitoshe meza si kubwa yakanishinda ikabidi nigeuze godoro juu chini pakakucha kwa taaabu sana.

Nilihisi kinyaaa
 
Dah mimi hiyo imenitokea juzi Tunduma. Mida ka hiyo saa 8 usiku nimelala lodge nipo mwenye nikasikia kwa nje mtu anajaribu kufungua mlango ameingiza funguo, bahati nzuri na mimi sikua nimechomoa funguo kwa ndani. Nikauliza kwa ukali wewe ni nani, nikajibiwa na sauti ya kike samahani nimekosea namba.( I was like w.t.f?)
Daah tunduma ilikuwa lodge ipi hiyo sammy , nyati au olimpia
 
Aah hiyo ndio maana ya shared trauma relationship.
Yani bond kubwa kwenye relationship ni yale matatizo mliyoyapata kama kufiwa, ajali etc.
Bond kubwa ni Upendo kati yetu na sio trauma,,hizo ni kama catalyst tuu ktk mahusiano,mfano mtu anakwambia yani nampenda sana mke wangu na kilichofanya nimpende zaidi mpk kumuoa ni vile anavyochukulia matatizo yangu kama yake,au vile alivyo na huruma,au vile alivyomsafi etc...etc....
 
Mwanza nilifikia hotel moja mjini pale floor ya pili, kwa chini kuna bar , nikaenda nikapata demu muhudumu pale, kumbe mtu wa jikoni ni mtu wake.
Demu walivofunga akaja kwangu, watu wakamsanua mwana...ulikua ni shida hio siku.
[emoji2][emoji2][emoji2] Ilikuaje?
 
baada ya kukosa lodge nikapata moja mida ya saa saba, kuingia imetumika kumevurugwa, maji chapa chapa, mataulo mabichi,hewa nzito ya jasho km watu walikuamo muda si mrefu!!
Nje usalama mdogo,ikabidi nilale juu ya meza ilikuwepo room,kuskilizia ni maumivu ya mgongo isitoshe meza si kubwa yakanishinda ikabidi nigeuze godoro juu chini pakakucha kwa taaabu sana
Nilihisi kinyaaa
[emoji23] pole. Ila kiukweli kwenda kulala kwenye magesti kunataka moyo bora hotel kama mfuko uko njema.
 
[emoji23] pole. Ila kiukweli kwenda kulala kwenye magesti kunataka moyo bora hotel kama mfuko uko njema.
Enzi hizo ndo tuko chuo hela ya hotel unamaliza kibubu mnatafuta lodge nzuri tena safi mpya mpya hahaa. Ila siku hz hata niende mkoa silali lodge au guest aisee ni hotelini tena nzuri. Usalama na usafi ni muhimu.
 
Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala !

Babati hiyo miaka ya 2014 tumetoka kufanya kazi fulani timu kama ya watu 8 hivi tumefikia Lodge moja, ubaya ile Lodge ilikuwa vyumba vimezunguka so wa Room Na. 1 akitoka anaweza kuonana na mtu wa Room Na 12.

Basi bana Mida ya saa 11 hivi jioni nikaanza kusikia kelele za mwanadada analia Motoooo motooo uwiii nakufaaa hiii unaniumiza uwiiiii nakufaaa unanichana, iiiihiiiii umeingiza sanaaaaa uwiiiii.

Kelele zikazidi kila mtu lodge ikawa kero kwa wote waliokuwepo room kwa muda ule, basi Bwana ile nafungua tu Room kwangu uso kwa uso nakutana na takribani wengine wote nao wamekaa milangoni mwa vyumba vyao wanasikiliza sauti inapotokea, it was terrible wakurungwa wakaamua kwenda kugonga mlango, gonga sana ukigonga sauti inazidi kutoka kwamba matumaini ya kunusurika yanakuwepo.

dak kadhaa baadae mlango ukafunguliwa kwenye ile room, ahamadi kinakutwa kipande cha mtu kinatupia mzigo kwa mdada mdogo mdogo hivi yule dada alipopata upenyo tu alitoka bila nguo mle room, mama mmoja akamstiri kwa khanga.

jamaa akatoka room kaenda kuwasha gari huyo nduki...dogo akawa anaomba apepelewe sehemu muhimu maana joto lililosababishwa na kupelekewa moto limemzidi!!!
 
Enzi hizo ndo tuko chuo hela ya hotel unamaliza kibubu mnatafuta lodge nzuri tena safi mpya mpya hahaa. Ila siku hz hata niende mkoa silali lodge au guest aisee ni hotelini tena nzuri. Usalama na usafi ni muhimu.
Mimi kinachonipa tabu kwanza nikiwaza mashuka sijui mataulo yashatumiwa na watu kibao kabla yangu nami tena nikatumie hata kama yanafuliwa aah naona kero tu.
 
Hapo sister unaongelea mashuka ya mahotel makubwa ....sasa huku kwenye guest bubu unahisi hali ikoje,ni noma sana...kuna time upo mishe mishe unalala basi tu huna namna
😂😂 Kote huko naelewa ila hotel ni safi tofauti na huko kwingine. Na kweli kuna muda unakua huna option lazima upambane nazo.
 
Back
Top Bottom