Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Tulivamiwa aisee sitakaa nisahau ile siku mpk leo nina phobia ya kulala hotel au lodge ambazo sio za ghorofani,yani nahisi ghorofani nipo safe. Hilo tukio lilitufanya tusiachane mpka leo.
Ndo bado anakugegeda daily huyo huyo??
 
Nipo advance nasoma mbeya miaka hiyo ila ili ufike shule kutokea mikoan huku lazima ulale mbeya mjini kwanza.
Siku hiyo nimefika nimechukua chumba gest mitaa ile ya karibu na dox mwanjelwa kama unarudi block t hivi.usiku nimelala nasikia miguno mwanamke analalama ananyanduliwa kutoka kwenye korido sauti ipp juu gest nzima.Kidume usingizi ukakata genye zikanipanda ikabidi nitoke niende hadi kaunta kufika nakuta wanawake wapo wengi lakini ni ambao wamenizidi umri(kumbuka nipo advance na hapo nimezoea kumega madent wenzangu tu) lakini cha ajabu wamama.wananiangalia kwa jicho la matamanio.
Baadae kuja kugundua ni kuwa ile gesti ina wanawake wanaojiuza hivyo atakaetangulia kupata mteja anapiga kelele za mahaba anahakikisha hakuna mwanaume rijali atakaeweza kulala bila mwanamke.sikurudi tena ile gest nkaamia lodge za uhindini usiku naenda ruka disco pamodzi.
Pamodzi ilikufa mzee nimeruka sana hpo majoker
 
Kuna trip nlikua naenda katoro nikapata emejeosi mitaa ya busanda,,nkaona kwakua mm ni mtanzania acha nilale hata hapa..
Nilichukua rum gest(naweza kuita ni gest bubu)..

Muda wa kulala ulivofika nasikia chini ya godoro kuna kama mchakacho iv,ile kufunua naku condom used,pakti za sigara,chupi za malaya,pedi zakutosha dah..nililala kwa mawenge sana
 
Kuna trip nlikua naenda katoro nikapata emejeosi mitaa ya busanda,,nkaona kwakua mm ni mtanzania acha nilale hata hapa..
Nilichukua rum gest(naweza kuita ni gest bubu)..

Muda wa kulala ulivofika nasikia chini ya godoro kuna kama mchakacho iv,ile kufunua naku condom used,pakti za sigara,chupi za malaya,pedi zakutosha dah..nililala kwa mawenge sana
Aisee baadhi ya watu ni wachafu/hawana kinyaa[emoji706]. Ungewabamba wangesafisha
 
Dodoma ilikuwa kipindi cha kuanza bunge baada ya uchaguzi, lodge mji mzima zimejaa. Nilikuja pata lodge saa 6 usiku kuingia bafuni nakuta kimba linaelea, shuka zina unyevu nyevu, kumuuliza muhudumu anadai chumba kimetoka kusafishwa, baada ya vurumai nilirudishiwa pesa yangu. Niliishia kulala kwenye gari mpaka kunapambazuka.

Iringa nilikutana na bonge la tangazo marufuku kwa wasiokuwa wanandoa kulala pamoja. Ukienda na mwanamke sharti uwe na cheti cha ndoa. Niligeuza kutafuta sehemu nyingine, kwa baridi ile sikutaka take chances za kulala mwenyewe. Cha ajabu nilikuja gundua kuwa ile lodge ilikuwa maarufu kwa mashoga maana hawahoji wanaume kulala pamoja lakini wana tatizo na mwanamke na mwanaume.

Iringa huko huko tulikuja gongewa na mapolisi. Wanatafuta wahamiaji haramu, nilikuwa na mwenyeji wangu tuliokutana usiku huo huo tu. Kuhofia wizi begi langu lenye vitambulisho vyote nilimpa mwenzangu ambae alilala lodge nyingine. Na rangi yangu si rafiki sana kuepusha shaka ya uraia wangu (kwa mujibu wa mapolisi)mbaya zaidi moja ya mapolisi alikuwa anamjua yule dada na shughuli zake. polisi kuniuliza jina la mwenzangu nikabwatuka tu Mary na demu akajibu jina lingine muda huo huo (Hata jina lake nilikuwa silijui).
Siku hiyo niliamini mizimu ipo. Nilipoulizwa jina langu nilitaja jina la ukoo, ghafla mkuu wa wale polisi akakurupuka kuwa anamjua mzee wangu (mzee nishazika miaka mingi iliyopita) alijichanganya tu, na hiyo ndio ikawa pona yangu.

Sumbawanga vijijini nililala lodge usiku mzima kulikuwa na kelele za mapaka hasa ukizima taa. Nilikesha mpaka panapambazuka.

Mwanza nilikutana na demu sehemu niliyoenda kula. Walikuwa wanapiga mziki. Tukaimbishana hivyo hivyo kwenye kelele na kuondoka wote. Kufika lodge kumbe demu kiziwi na kidogo mtambo. Alikuwa anaongea kwa nguvu balaa. Tena topic za ajabu kama vile utanifanya mara ngapi, utanioa, mbona mbupu zako ndefu, hii ikiwa ni saa 7 za usiku tena kwa kelele. Ilibidi saa 11 asubuhi ninyate nikimbie fedheha toka kwa wa vyumba vya jirani waliosikia, kufika mapokezi jamaa ananicheka mpaka kuanguka kumbe alikuwa akisikia ile mikelele.

Stori za lodge zipo nyingi mno nilizokutana nazo. Nimechoka kuandika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna hii moja temeke 2016 huko yombo dovya nimezama lodge na mtoto mlito kwenye purukushani huku na huku kumbe wakat napiga game heavy na yule demu anakaribia kukojoa

Chini ya kitanda wamejaa kunguni wengi balaa sasa ile mishe mishe ya kitanda ni kama tumewachokoza aisee wakaanza kutoka sasa baba ako ikabd nizuge kama siwajui kwa sabb yule demu kwao mambo safi wakishua sana imagine mtoto alikuwa advance level marian Girls kunguni yeye anawasoma kwenye kitabu ajawai meet nao fiscal nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji3]
 
3. Kuna hoteli moja ipo hapo dar (jina kapuni) karibu na kituo kikuu cha mabasi cha zamani. Hii hoteli ina balcony ambazo milango yake ni aluminium na vioo na haina pazia milangoni. Changamoto yake ni kwamba hoteli hii iko muundo wa "L". Kwakua ina madirisha makubwa ya aluminium, kuna baadhi ya vyumba ukiangalia dirishani unaona vizuri kabisa ndani ya chumba kilichopo upande wa pili kupitia mlango huo wa kioo. Tena unaona kitandani!! Pia unapata view nzuri kabisa ya chumba kilichopo floor moja chini. Ni shida.
bila shaka ni kagame hotel hii
 
Dodoma kulikua na mavikao sijui ya CCM kuhusu nini hakuna gesti kuzunguka na bodaboda tu 60 ililala na gesti sikupata.Nikaja kupata four ways tena kuna mtu alikua anatoka chumba kilikua kinanuka mimavi na mimikojo kama nini .Kwa hasira nikaangusha Harrison Mwakyembe mbili size ya kati na Konyagi kina kifupi.Kuamka saa 9 mchana nikadaiwa ya siku mbili.Kuna ligesti liko Iringa road sijui linaitwaje lina chumba na sebule na jamaa wa mapokezi mtu poa sana nilikaa week .Jamaa full kuniletea mizigo ,vumbi na juisi za kongo .Mara ya mwisho akaniletea libibi halitaki pesa linataka fimbo ya msai tu ilikua patashika.
Harrison Mwakyembe ni nini Mkuu?
 
Kwa kifupi wakati napata mashaka ya kutaka kwenda kuangalia chumbani huku wao nafikiri walitimua mbio kabisa mana sikuwaona yale mashuka hayakufaa kabisa na kutani alikuja mzee mmoja chapombe chapombe huwa ndio anafanya usafi mkubwa kama kuzibua nk so alisafisha
[emoji16][emoji16]Pole sana mkuu, kama tulikukwaza! Wala hata hatukuwa mbali, tulikuwa kwenye kona moja ya nyumba tunakucheki tu unavyohaha [emoji28][emoji28] Ulivyoondoka, na sisi tukaanza safari twaratwiibu! Kelsea tulimkera sana mhudumu[emoji1787]
 
Lodge za bongo za kisenge[emoji3][emoji3]unaingia saa 10 usiku, unagongewa mlango asubuhi saa 4 unaambiwa muda wako umeisha, sijui lodge bongo wamekariri ni sehemu ya kunyanduliana[emoji3][emoji3]
Mi kuna siku nimebook hotel saa 10 jioni, nikaingia pale saa 6 usiku, wakanambia natakiwa toka kesho kutwa yake ingekuwa hizi lodge zetu hakika kesho saa 4 wangegonga
 
Back
Top Bottom