HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Huyo muongo maana vyumba hukaguliwa mtu akitokaTatizo mkuu wewe ni mtu mmoja mjinga mjinga sana unakunyaje kitandan???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo muongo maana vyumba hukaguliwa mtu akitokaTatizo mkuu wewe ni mtu mmoja mjinga mjinga sana unakunyaje kitandan???
Heshima ni kitu cha bure.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utani bhana
Natania bhana!
Ndo inavyotakiwaSheria ya kwanza kabla hujalipia chumba nenda ukakikague kama hakikufai unamwambia kabisa muhudumu
Ni hotel kaka au unadhani ni vipi? Sema tuu mazoeaHizo ni lodge.
Kuna hotel ukifika na kuangalia chumba na bei ulipayo unakubali tumia taulo
Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basiHeshima ni kitu cha bure.
Huyo mdada umemkosea sana.Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi
Pia ujifunze kuwa mwanaume hajibiwi kikejeli na kijinga namna hiyo, na bila shaka hujaolewa mpaka sasa, kazi kukesha kwenye jukwaa la love connect na IDs tofauti
Ningekuwa karibu yako ningekutandika ngumi ya uso mpaka komwe limee![emoji35] Shwain! Au ningekuchapa viboko 20 hadharani ukiwa mtupu huku nikiyamwagia maji na mdundo pembezoni wa amelowa! Eti "heshima ni kitu cha bure" Huna akili
Rejea matokeo ya takwimu za sensa ujue idadi ya wanaume tuko wangapi! Na kama nikibaini kuwa wewe ni huyu mke wangu, jua kabisa ndoa huna, maake mke wangu amepatwa na hasira ghafla ndani ya nusu saa zilizopita! Tumpf sana wewe! Tafuta mume [emoji35]
Eti mzabzab mkeo kawaje huyu? [emoji28]
Kwa hiyo ulikunya na kuchambia soksi zako halafu ukazibeba kwenye begi ili ukifika safari ukazifue uvae tena?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi hata sio mkoani ni Dar mbezi luis tena nimechukua logde ya Elfu 25 asubuhi na mapema nataka niwahi bus maji hayatoki!,ni mwendo wa kuchamba na soksi sikupiga hata mswaki ni bora hata ningelala tu stendi!
Usiwege unamind vitu ambavyo havina maana, sasa unapanic kwenye IDs fake, kwani kuna mtu anakufahamu humu? Hivi ukoje wewe? Shwain! Sijui wanawake mumeumbwaje! Utani tu kama huo eti jidada limemaind, kama sio upumbavu ni nini? Kwani ulijua may be hadhira itafikiria kuwa something happened really? Kua basi, jaribu kukua, kuwa mtu mzima basi
Pia ujifunze kuwa mwanaume hajibiwi kikejeli na kijinga namna hiyo, na bila shaka hujaolewa mpaka sasa, kazi kukesha kwenye jukwaa la love connect na IDs tofauti
Ningekuwa karibu yako ningekutandika ngumi ya uso mpaka komwe limee![emoji35] Shwain! Au ningekuchapa viboko 20 hadharani ukiwa mtupu huku nikiyamwagia maji na mdundo pembezoni wa amelowa! Eti "heshima ni kitu cha bure" Huna akili
Rejea matokeo ya takwimu za sensa ujue idadi ya wanaume tuko wangapi! Na kama nikibaini kuwa wewe ni huyu mke wangu, jua kabisa ndoa huna, maake mke wangu amepatwa na hasira ghafla ndani ya nusu saa zilizopita! Tumpf sana wewe! Tafuta mume [emoji35]
Eti mzabzab mkeo kawaje huyu? [emoji28]
upande wa derevaMbele kabisa kushoto dirishani[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Basi sawaNi hotel kaka au unadhani ni vipi? Sema tuu mazoea
Yah ila kuna hotel very executive mataulo yanabadilishwa na kufuliwa na dawaBasi sawa
Hkn sehem aliyomkosea hapo ila tu uyo dada anajifanya mjuaji kama vile ajawai kuwa taged sehem yyte.
Mataulo watu wanafutia mabao😀😀na wahudumu wa kibongo sijui uwa wakoje yaani kumpa mtu huduma nzuri ni mpaka wafokewe, kukubadilishia mashuka/ taulo ni mpaka waambiweYah ila kuna hotel very executive mataulo yanabadilishwa na kufuliwa na dawa
Oya sio Morning Star hiyo?Nimelala katika Hoteli kabisaa(siitaji), iko Dodoma.
Saa 7 usiku nasikia kuna bibie analalamika kwa uchungu na raha kwa pamoja, nikasituka.
Kumbe kuna lijamaa linaguna chumba cha pili, na linagegeda kwa nguvu na yeye mwenyewe anagumia kwa butamu.
Kwa risaa rizima niripata ritaabu sana!!!
Aaaah......mie chichemi!!!Oya sio Morning Star hiyo?
Sasa mtu katok safari huko mikoani amesafiri siku nzima njiani anakula viporo, mahindi ya kuchemsha, karanga, mayai, soda ya coke,.[emoji12]Unakunya kunya ovyo
Tena bora hata mashuka na mataulo wengi wanajitahidi kufua ila mabranketi mteja akitoka linaanikwa tu juani ili jasho likauke na ile harufu ipungue then linakunjwa na kurudishwa kitandaniMataulo watu wanafutia mabao[emoji3][emoji3]na wahudumu wa kibongo sijui uwa wakoje yaani kumpa mtu huduma nzuri ni mpaka wafokewe, kukubadilishia mashuka/ taulo ni mpaka waambiwe