Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Hili sitasahau. Miaka ya 2012 nilienda kakora nyangalata kwenye maeneo ya machimbo na gari la biashara/mizigo. Palikuwa pamechangamka sana hasa walevi na malaya.
Usiku huo huo nimelala kwenye gest ya ajabu, vyumba vimetenganishwa na majamvi na maturubai, jamaa anapiga show za fujo chumba cha pili. Mara wakaangukia partition yangu mazima wako uchi wa mnyama jamaa bado imo! Siwez kusahau!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume TUNAPITIA.....
We acha tu. Kuna wengine ukilala nao hata Kama dili la hela lilibakia kuingiziwa kwenye akaunt au kupewa cheki. Dili linayeyuka ghafla. Kuna wengine hasa wanawake wa mkoa wa Manyara, Kama sio mkeo, ukigonga tu utahesabu mabalaa hata kazini unachukiwa Hadi kutemwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani wewe ni kama una chuki zako sasa ulikua unatafuta namna ya kunianza. Nipo hapa nasubiri unipoteze, eti sitaamini [emoji23] kwa kipi hasa? Ndio ukome kuvamia yasokuhusu. Nakusubiri tena leo leo unipoteze.
Wewe ndio ulinianza eti najidai mjuaji haya wewe usie mjuaji unachoumia kitu gani? Ulitaka akutag wewe kuwa ndio mlishirikana kuchafua lodge ya watu? Una wazimu si bure. Haya nasubiri kupotezwa [emoji23][emoji23][emoji23]
9 november upo?
 
Babati hiyo miaka ya 2014 tumetoka kufanya kazi fulani timu kama ya watu 8 hivi tumefikia Lodge moja, ubaya ile Lodge ilikuwa vyumba vimezunguka so wa Room Na. 1 akitoka anaweza kuonana na mtu wa Room Na 12.

Basi bana Mida ya saa 11 hivi jioni nikaanza kusikia kelele za mwanadada analia Motoooo motooo uwiii nakufaaa hiii unaniumiza uwiiiii nakufaaa unanichana, iiiihiiiii umeingiza sanaaaaa uwiiiii.

Kelele zikazidi kila mtu lodge ikawa kero kwa wote waliokuwepo room kwa muda ule, basi Bwana ile nafungua tu Room kwangu uso kwa uso nakutana na takribani wengine wote nao wamekaa milangoni mwa vyumba vyao wanasikiliza sauti inapotokea, it was terrible wakurungwa wakaamua kwenda kugonga mlango, gonga sana ukigonga sauti inazidi kutoka kwamba matumaini ya kunusurika yanakuwepo.

dak kadhaa baadae mlango ukafunguliwa kwenye ile room, ahamadi kinakutwa kipande cha mtu kinatupia mzigo kwa mdada mdogo mdogo hivi yule dada alipopata upenyo tu alitoka bila nguo mle room, mama mmoja akamstiri kwa khanga.

jamaa akatoka room kaenda kuwasha gari huyo nduki...dogo akawa anaomba apepelewe sehemu muhimu maana joto lililosababishwa na kupelekewa moto limemzidi!!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
1997 tabora,nimeingia gesti,madirisha ya mbao,sikufunga,nimeanza game mwanaume nachanga Tako vibaya game limenoga,mafala wakanichoma unyasi tundu dogo...niliruka,kipindi hicho habari za popo bawa zinavuma,nikaenda kufungua dirisha,tukaendelea na dhambi
If you were fucking in 97 you must be really old
 
Nakumbuka miaka ya 2009, butimba pale kuliko na gesti moja nilioanga kwa muda wa wiki nzima aisee, kuna jamaa wa chumba kinachofata alikuja na kidemu cjui alikitoa wapi bwana, mm nipo chumbani nachek Tv, huku nakula viepe, baadae nikapitiwa na usingizi kuja kushituka, nasikia kelele... Unanipasua mayai, jamaa anapeleka moto haswa, yaani dk 40 za moto kidemu kinalalmika... Oooh inawaka moto paka mafuta jamaa ana feplay tulia si unataka hela, alipiga kile kitoto akakiinamisha piga gigo ile anachomooa kitoto kikafyatuka kutoka chumbani kikiwa uchi, kikaanza kujafibu kufungua milango kakuta mlango wangu uko wazi kakaunga mpk ndani, kakapita...... Mpk chumbani jamaa likatoka linacheka likawasha gari na kusepa.... Demu yupo uchi nikamwambia kaoge humo bafuni akaoga then nikampa taulo ajifunge akala viepe vilivyobakia tukalala naye mpk asubuhi ndio akarudi kwenye room kuchukua nguo zake alivyorudi akanitunuku tunda nilimchakata mpk saa nne asubuhi hivi.... Ndio ikawa mwanzo wa kumla sophi.... Mpk muda wangu wa kukaa pale ulipoisha
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
nilikwenda Zanzibar juz kati,katika harakati za kutafuta Lodge,nikaangukia lodge moja iko mbele ya kwa Mchina2, iko eneo la jeshi,ile kuingia tu getini kuna bango kubwa HILI NI ENEO LA JESHI "NIDHAMU HAIOMBWI" nikajisemea kimoyomoyo hapa pananifaa na patakuwa na ulinzi wa kutosha na utulivu. nikaingia ndani,nikaona kuna bar watu wanaangalia mpira,nikaambiwa upande wa lodge kule, niakaenda, kwanza kufika tu reception nikashtuka,nikasema mbona pamekaa hovyo hivi, kuingia zaidi nikamkuta mdada akaniambia vyumba vipo, nikamwomba nivione,kuangalia ni vitanda vya tofali na zege, vimejengwa kama kaburi,nikajisemea lahaula mbona hatari, nikamuuliza mhudumu, eeh!! chumba sh? akasema elfu30 kulala,lakini kama ni unalala tunaruhusu kulala kuanzia saa tatu ya usiku, hivyo unaweza kulipia ukaenda kuzurura akarudi saa tatu ili tukutandikie chumba chako, ila kama unataka short time hata kwa sasa unapata,kipo hicho hapo ametoka mtu sasa hivi tukutandikie. nikaona hapa hapanifai nikaondoka zangu
 
Next time usikubali kuchukua room ambayo imeungwa na bar,,,, huwa chafu chafu Sana kwa ajili ya matumizi ya short time, pia kelele za music unashindwa kupumzika vzr !!!
 
nilikwenda Zanzibar juz kati,katika harakati za kutafuta Lodge,nikaangukia lodge moja iko mbele ya kwa Mchina2, iko eneo la jeshi,ile kuingia tu getini kuna bango kubwa HILI NI ENEO LA JESHI "NIDHAMU HAIOMBWI" nikajisemea kimoyomoyo hapa pananifaa na patakuwa na ulinzi wa kutosha na utulivu. nikaingia ndani,nikaona kuna bar watu wanaangalia mpira,nikaambiwa upande wa lodge kule, niakaenda, kwanza kufika tu reception nikashtuka,nikasema mbona pamekaa hovyo hivi, kuingia zaidi nikamkuta mdada akaniambia vyumba vipo, nikamwomba nivione,kuangalia ni vitanda vya tofali na zege, vimejengwa kama kaburi,nikajisemea lahaula mbona hatari, nikamuuliza mhudumu, eeh!! chumba sh? akasema elfu30 kulala,lakini kama ni unalala tunaruhusu kulala kuanzia saa tatu ya usiku, hivyo unaweza kulipia ukaenda kuzurura akarudi saa tatu ili tukutandikie chumba chako, ila kama unataka short time hata kwa sasa unapata,kipo hicho hapo ametoka mtu sasa hivi tukutandikie. nikaona hapa hapanifai nikaondoka zangu
Yaani pamoja na bango kuubwaa la nidhamu kumbe bure
Uzuri wa mkakasi.....
 
Wasalaam!

Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala !

1. Dar es Salaam
Nilienda lodge moja nzuri tu yenye hadhi, kufika reception mhudumu akanipatia chumba, nikasain na kulipa! Nikakumbuka sina Kinga nikarudi kuuliza Kama wanauza, kalikuwa kadada hivi, yaani kalishangaa vile kama nimeulizia kitu Cha ajabu Sana, akasema hana nikarudi room, nikampigia mgeni wangu aje Nazo! Ajabu pale room ukutani kulikuwa na Sheria zao, mojawapo inasema mteja haruhusiwi kuingia au kutumia kilevi akiwa mle, mimi nilikuwa na take away zangu nimeingia Nazo, kwa jeuri nilivyoondoka niliziacha chupa! Mpaka leo najiuliza ile ni lodge au hostel? Mmiliki ni mchungaji? Yule mhudumu alikuwa mtawa? Ajabu Sana !

2. Mahenge- Ulanga
Miaka fulani kabla daraja la kilombero halijatengenezwa , nilipata safari ya huko , nilifika usiku Sana, (enzi za Moro best/alsaedy, now sijui ni bus gani zinaenda huko), nikapanda boda inipeleke lodge/Gest, tulienda sehemu Kama mbili nafasi zimejaa, tunapata moja, Bei ilikuwa 5000, dah kitanda Kama kaburi, Yani Ni zege limetengenezwa godoro linawekwa juu unaambiwa karibu ! Nilikaa Kama siku 4, asubuhi nilihama kutafuta lodge nyingine !

3. Babati
Nilikuwa nasafiri, nikafika jion, sikuwa na uharaka wa kuunga safari, nikaona nipumzike na kuyasoma mazingira, lodge moja hivi nilishukia, Yule mhudumu wakati ananisainisha, nikamtania kidogo! Nikaenda room, nikaoga nikatoka kwenda kula na kupata kinywaji , wakati narudi kulala yule mhudumu wakati ananipa funguo, naona anacheka cheka, ! Aft 4/3 mins akaja kugonga anauliza mbona Niko alone? Nikihitaji kampani nimuambie , nikajibu sawa! Dem akijirahisisha Sana napoteza mzuka!

4. Shinyanga
Muda mwingine shughuli zangu zinanilazimu kusafiri safiri hasa wilayani anghalabu, siku nimefika usiku kwa uchovu wa safari nikatafuta sehemu ya kupumzika, napewa room, nakuta ndoo mbili za zimejaa maji na kopo! Aloo, nakumbuka sikuoga, asbh nilinawa uso kwa maji nilokuwa nayo ya kunywa, nikaondoka zangu!

Visa Ni vingi, nilishawahi kuibiwa bag Lina doc kadhaa, Ni ile unafika unalipa siku kadhaa, then unavyotoka asbh unamuachia mhudumu funguo ili afanye usafi, narudi nimeibiwa baadhi ya vitu, mhudumu ooh Kama uliingiza mwanamke akakuibia na kweli sikua nimeingiza mwanamke, nilileta shida, hadi boss wake akaja, ananitisha ananipeleka police, Mara nasumbua wateja, nikamwambia tangulia nikukute huko, nakuapia hii nyumba utaigeuza Banda la kuku, mikwara kibao, akaanza kushuka, tukayajenga kiume, nikatumiwa doc nyingine nikaenda kuziprint.
Mimi nimelala lodge zaidi ya 500 africa mashariki 😅😅😅😅😅 naweza kuwa nimeweka record ya dunia. Hasa Kampala na Nairobi.

Sema uwa Sina interest ya kulala na demu lodge!!!
 
Mimi nimelala lodge zaidi ya 500 africa mashariki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] naweza kuwa nimeweka record ya dunia. Hasa Kampala na Nairobi.

Sema uwa Sina interest ya kulala na demu lodge!!!
Tupe experience kadhaa ulizokumbana nazo
 
Back
Top Bottom