Nilifika Njombe, kutoka nilikotoka. Nikachukua chumba. Ilikuwa kama saa 6 mchana. Kufika saa 10 hivi nikapata usafiri kwenda nilikopanga kuelekea.
Nikamwomba mhudumu anirudishie japo nusu ya bei ya chumba. Alikataa katakata.
Niliiingia chumbani, nilivua foronya ya godoro, sambaratisha vitu hovyohovyo. Niligeuza kitanda upside down na chaga weka kule. Mashuka nilifutia viatu kisha nikayanyagakanyaga.
Nilibeba begi nikaaga kwa mhudumu kisha nikasepa zangu nikiwa na uhakika kuwa atapata kazi kurudishia chumba katika hali ya awali. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]