Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

Katika harakati za kutafuta maissha nikajikuta nipo ifakara [emoji3][emoji3]

nimepumzika lodge na mtoto kumbe dirishani kuna mtu anakula chabo, taa ilikuwa inawaka basi nikaizima na kurekebisha pazia na kisha nikaacha pazia mahali lipo wazi.

Chumbani kuna jagi la umeme la kichemsha maji nikachemsha nikaingia bafuni kama naoga,

Nikapanda juu ya choo cha kukaa na na kuchungulia kwa nje kwenye kadirisha kadogo ambako halana wavu wala nondo nikamuona yule jamaa aliekuwa akipiga chapo akiwa ameweka ndala chini kapiga magoti Akiendelea kula chabo.

nilimimina maji ya moto kwenye kikombe cha kuogea na kumwagia jamaa mgongoni

Jamaa alipiga kelele za hatari [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu wote wa ule upande nilio lala wakaamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kigogo Dar.
Enzi zile Niko bandari, tulikua tunakunywa maeneo ya Kigogo. Huku nje bar ndani gesti, katika hiyo team alikuwako Dem mmoja, utani utani jamaa mmoja muendesha fok lift akamtongoza yule Dem, Mara wakachukuana Hadi gesti, yule Dem alipotoka kunyanduliwa aliondoka moja kwa moja Ila mshkaji alirudi kwenye kikao. Dakika tano nyingi mhudumu wa gesti kaja anamtaka jamaa yetu aliyetoka gesti akasafishe chumba na kufua mashuka.
Jamaa naye hakua mbishi maana tabia yake ya kupenda barabara za vumbi inafahamika.
Sio bongole bar hiyo mkuu [emoji23]
 
Daah huyo demu aliendelea na kazi???
 
Back
Top Bottom