Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Bila shaka nazani wewe ni kati ya wale watu wanaosemaga Kuna majini wabaya na wazuri
 
Bila shaka nazani wewe ni kati ya wale watu wanaosemaga Kuna majini wabaya na wazuri
sio kusema tu naamini pia, kama binadamu/malaika iko hivyo kwa nini wao hapana

kama tu binadamu wazuri wana mabaya yao na wabaya wana mazuri yao kwa nini wao hapana.

ko aliye waumba alituchomekea dhahama mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…