Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Unataka kujibiwa wewe kama nani Mbw*..a hii.

Au ndio yule shemeji mke wa msimuliaji?
 
Thanks mkuu, manake nimekufta telegram bla mafanikio, hdi nikakata tamaa, manake story tamu sana
 
Acha matusi na kudharau dini za watu nyegere wewe
Usituharibie stori.
Huyu Lwanda amezaliwa familia ya Kikristo,
Yaani yeye kusema ameokoka ndio mnatapa tafrani!?

Hivi mlivyoita kuokoka ni usanii hizo siyo dharau?
Au wewe ni kipofu baadhi ya comments huzioni?

Halafu huwa sibishani na zezeta kama wewe fala wewe.
 
Bora utuache fala wewe
Ushampotezea mtoa mada muda wake, badala atuhadithie stori akaanza kukujibu mwanga wewe.

Kahadhithie stori yako inayosapoti ushirikina,utapata wadau.
 
Hawa wanaomsumbua LWANDA hawana akili.. hakuna aliyewalazimisha kusoma story hii.

Kama hupendi msiba wenye ugali, Basi mnyonge mwanao upike wali tuje kula.. (P*mbavu.)

Hii nchi wajinga wengi sana.
Ni wajumbe wa Malkia wa bahari
Wajumbe siyo watu wazuri [emoji23][emoji23]
 
Jamani tujifunze mbinu za kuwaelewa watu, huyu jamaa mkifuatilia thread alizoanzisha yeye mwenyewe mnaweza muelewa ni mtu wa aina gani, hivyo kupinga anachokifanya mkuu LwandaMagere ni HAKI yake maana anaona kama vile upande anaoupambania unadhihakiwa kwa kufunuliwa yale maovu yaliyopo.

Niseme tu wengi wamepoteza muda kubishana na huyu mwamba, na next time ikitokea jaribuni kwanza kufuatilia aina za nyuzi za mhusika ili kumuelewa kuepusha kupotezeana muda.

HUYU JAMAA ANAAMINI KATIKA USHIRIKINA NA HATA KUTOBOA MAISHA ANAAMINI NJIA BORA NI KUPITIA USHIRIKINA. Hivyo lazima autetee upande aliopo kwa namna yoyote ile.
 

Sasa nimeelewa kwanini amekuja kutuvuruga hapa. Kumbe ameona maslahi yake yanaguswa
 
Huyu nae alikua anatafuta Mali za kishirikina ndomana ana negativity kwa lwanda magere
Mimi sijapoteza muda kumchunguza..
Nilivyoona tu analeta tafrani anasema Lwanda kuokoka ni usanii nikamuona chenga tu!
 
Huyu jamaa kafanya leo tusipate hata episode moja ya muendelezo. Tumripoti kama spam nini ? Ila jambo zuri ni wote kuamua kumuignore mwisho atanyamaza mwenyewe
Yaani mimi amenikera sana huyu chizi.
 
Mi nilihisi tu kwanza Avatar yake kajaaa kwenye picha kama yule Lwanda aliemuona kule chini ya maji
[emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601]
Ukute ni yule aliyemsalimia Lwanda kwa kisukuma kule majini ila amekuja kwa sura nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawatabirikagi [emoji1787]
 
Tena umechelewa jinga kabisa wewe,wivu tu na roho mbaya zimekujaa ulitaka usimulie wewe toka na roho mbaya yako.
 
kwani boss upande gani unaongelea?
sababu mleta mada ni mkristo na alikuwa upande wa nguvu za giza(uchawi), au alisema alikuwa upande gani mwingine
 

lazima uelewe mkuu kuna wengine wamezaliwa Dar, shule makongo, chuo udsm na hawajawahi kutembea sehem yoyote zaid ya likizo kwa mjomba, ndio maana hawezi kuamini vitu kama hivi coz ukimwambia nilikuwa napaa atataka ushahidi. so usipoteze muda kulusha mawe gizani, wewe endelea na wanaoamini wataamini na wasioamini achana nao usilazimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…