Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Jamani ngoja niwaache muendelee kupewa STORI au ENTERTAINMENT, naona imeshindikana kabisa kujibiwa, wengi mna MIHEMKO, PRESHA, JAZBA, HASIRA, MATUSI, MIPASHO na personal attacks(mashambulizi binafsi ambayo Mara nyingi mtu ambaye ameshindwa hoja za msingi hua analeta), kwa wachache sana waliojaribu kunielewa heko kwao, wengi hamjui kwanini upo hapo na kwa sababu gani upo hapo ulipo, wengi hamjui hata mnachokisimamia, na laiti kama.ukijua basi huwezi kueneza PROPAGANDA za UONGO na za KINAFIKI kwa minajili ya kuonesha picha ya upande mwingine kua HAWAFAI na wanachoabudu ama kukisimamia, mipaka ya KIIMANI na IHESHIMIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kujibiwa wewe kama nani Mbw*..a hii.

Au ndio yule shemeji mke wa msimuliaji?
 
Wenye kuanda bando naomba kesho mnunue mabando ya kutosha,wenye kuchaji simu chajini ziwe full chaji,wenye kuazima simu hakikisheni mnaazima ili mkae nazo muda wote,kuanzia kesho tunaanzia tulipoishia,ila kila wiki nitajitahidi kuangalia namna nikavyoweza kuweka episode kadiri nitakavyoona inafaa.

HUO NDIO UTAKUWA UTARATIBU
Thanks mkuu, manake nimekufta telegram bla mafanikio, hdi nikakata tamaa, manake story tamu sana
 
Acha matusi na kudharau dini za watu nyegere wewe
Usituharibie stori.
Huyu Lwanda amezaliwa familia ya Kikristo,
Yaani yeye kusema ameokoka ndio mnatapa tafrani!?

Hivi mlivyoita kuokoka ni usanii hizo siyo dharau?
Au wewe ni kipofu baadhi ya comments huzioni?

Halafu huwa sibishani na zezeta kama wewe fala wewe.
 
Jamani ngoja niwaache muendelee kupewa STORI au ENTERTAINMENT, naona imeshindikana kabisa kujibiwa, wengi mna MIHEMKO, PRESHA, JAZBA, HASIRA, MATUSI, MIPASHO na personal attacks(mashambulizi binafsi ambayo Mara nyingi mtu ambaye ameshindwa hoja za msingi hua analeta), kwa wachache sana waliojaribu kunielewa heko kwao, wengi hamjui kwanini upo hapo na kwa sababu gani upo hapo ulipo, wengi hamjui hata mnachokisimamia, na laiti kama.ukijua basi huwezi kueneza PROPAGANDA za UONGO na za KINAFIKI kwa minajili ya kuonesha picha ya upande mwingine kua HAWAFAI na wanachoabudu ama kukisimamia, mipaka ya KIIMANI na IHESHIMIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora utuache fala wewe
Ushampotezea mtoa mada muda wake, badala atuhadithie stori akaanza kukujibu mwanga wewe.

Kahadhithie stori yako inayosapoti ushirikina,utapata wadau.
 
Hawa wanaomsumbua LWANDA hawana akili.. hakuna aliyewalazimisha kusoma story hii.

Kama hupendi msiba wenye ugali, Basi mnyonge mwanao upike wali tuje kula.. (P*mbavu.)

Hii nchi wajinga wengi sana.
Ni wajumbe wa Malkia wa bahari
Wajumbe siyo watu wazuri [emoji23][emoji23]
 
Jamani tujifunze mbinu za kuwaelewa watu, huyu jamaa mkifuatilia thread alizoanzisha yeye mwenyewe mnaweza muelewa ni mtu wa aina gani, hivyo kupinga anachokifanya mkuu LwandaMagere ni HAKI yake maana anaona kama vile upande anaoupambania unadhihakiwa kwa kufunuliwa yale maovu yaliyopo.

Niseme tu wengi wamepoteza muda kubishana na huyu mwamba, na next time ikitokea jaribuni kwanza kufuatilia aina za nyuzi za mhusika ili kumuelewa kuepusha kupotezeana muda.

HUYU JAMAA ANAAMINI KATIKA USHIRIKINA NA HATA KUTOBOA MAISHA ANAAMINI NJIA BORA NI KUPITIA USHIRIKINA. Hivyo lazima autetee upande aliopo kwa namna yoyote ile.
 

Sasa nimeelewa kwanini amekuja kutuvuruga hapa. Kumbe ameona maslahi yake yanaguswa
 
Huyu nae alikua anatafuta Mali za kishirikina ndomana ana negativity kwa lwanda magere
Mimi sijapoteza muda kumchunguza..
Nilivyoona tu analeta tafrani anasema Lwanda kuokoka ni usanii nikamuona chenga tu!
 
Huyu jamaa kafanya leo tusipate hata episode moja ya muendelezo. Tumripoti kama spam nini ? Ila jambo zuri ni wote kuamua kumuignore mwisho atanyamaza mwenyewe
Yaani mimi amenikera sana huyu chizi.
 
Mi nilihisi tu kwanza Avatar yake kajaaa kwenye picha kama yule Lwanda aliemuona kule chini ya maji
[emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601]
Ukute ni yule aliyemsalimia Lwanda kwa kisukuma kule majini ila amekuja kwa sura nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawatabirikagi [emoji1787]
 
Jamani ngoja niwaache muendelee kupewa STORI au ENTERTAINMENT, naona imeshindikana kabisa kujibiwa, wengi mna MIHEMKO, PRESHA, JAZBA, HASIRA, MATUSI, MIPASHO na personal attacks(mashambulizi binafsi ambayo Mara nyingi mtu ambaye ameshindwa hoja za msingi hua analeta), kwa wachache sana waliojaribu kunielewa heko kwao, wengi hamjui kwanini upo hapo na kwa sababu gani upo hapo ulipo, wengi hamjui hata mnachokisimamia, na laiti kama.ukijua basi huwezi kueneza PROPAGANDA za UONGO na za KINAFIKI kwa minajili ya kuonesha picha ya upande mwingine kua HAWAFAI na wanachoabudu ama kukisimamia, mipaka ya KIIMANI na IHESHIMIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena umechelewa jinga kabisa wewe,wivu tu na roho mbaya zimekujaa ulitaka usimulie wewe toka na roho mbaya yako.
 
Bado hujanijibu mkuu maswali yangu, una UDHIBITISHO gani ya kua wana wa imani walio upande wa pili wanafanya hayo uliyoyatamka? Mini najua mtu anaua ni mhalifu na hua wanaface sheria, wanaodhulumu ni wahalifu wanaface sheria, wanaoiba ni wahalifu wanaface sheria, ngono ( hapa fafanua zaidi kwenye NGONO), kudhini ( hapa nadhani kama Niko sawa umemanisha kuzini), sasa hayo unayatolea UDHIBITISHO gani kua yanafanyika kwa WAAMINIO upande wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani boss upande gani unaongelea?
sababu mleta mada ni mkristo na alikuwa upande wa nguvu za giza(uchawi), au alisema alikuwa upande gani mwingine
 
Jamani mimi hapa kwenye hiki kisa cha maisha yangu toka nilipoanza kusimulia tangia tukiwa Tarime sijawahi kukashifu dini za watu,sijawahi kumkashifu mtu,na kama mtakumbuka kuna wale jamaa ambao niliwaambia kwa sasa ni matajiri wakubwa hapa Dar es salaam sijawahi kuwataja majina yao maana niliona itaniletea shida,haya yule mfanyakazi wetu wakati tukiwa Tarime,jina lake halisi lilikuwa Ashura,je mlitaka nidanganye jina lake?,hilo ndilo lilikuwa jina lake.
Matendo yote niliyoyafanya kwenye maisha yangu hayo yaliyopita hakuna nilichopunguza wala nilichoongeza,isipokuwa kile kisa cha lile pedo(pederi)la baiskeli ndicho sikukimaliza kwasababu ya maneno ya watu.
Majina ya watu niliyoshiriki nao kwenye maisha ni majina halisi na wale ambao sikuwataja kuna sababu zilizofanya nisiwataje.

Mtu kama Zainati,Yusta,Scolastica,Ezekiel na Anton,hayo ni majina yao halisi.

Alama niliyowekewa mkononi na yule Malaika bado ninayo,kuna alama nilikatwa na kisu nikiwa maeneo fulani panaitwa Matemanga mkoani Ruvuma bado ninayo,kuna alama pia ninayo kidoleni ambayo nilipata ajali nikiwa kwenye gari langu kabla ya kufilisika bado ninayo,pia kidole changu kidogo cha kushoto kimepinda kabisa baada ya kusukumwa nikiwa nimelala kule Tarime.Nyumba niliyoishi nikiwa Tajiri bado ipo pale Igoma na kama mtahitaji ushahidi nipo tayari,nyumba zangu au apartment nilizojenga kule Buhongwa bado zipo kama mkihitaji ushahidi nipo tayari,nyumba yetu ya nyegezi niliyorekebisha bado ipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kaburi la baba yangu kule Tarime maeneo ya Ronsoti bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari,Kabuli la mama yangu kule kijiji cha Sumve wilaya ya Kwimba bado lipo mkitaka ushahidi nipo tayari.

Jamani kwanini watu hawataki kuamini kile ninachokisema?,nifanye nini ili muamini?,au kuyataja hayo majina yenye asili ya kiarabu kama Ashura na Zainati ndilo tatizo?,mlitaka nidanganye?,mbona hata majina ya wakristo nimeyataja?,Kinachofanya mnitupie maneno ya lawama ni nini?.
Toka mwanzo sikutaka kuupotosha uma wa kwasababu najua impact ya uongo.Hiki kisa hivi sasa ninakismulia pale Redio Free Africa kwenye kipindi chao cha SITOSAHAU,hivi nawezaje kusimulia kisa cha uongo ambacho kitafarakanisha jamii?,ninawezaje kusema uongo mbele ya serikali hii ya Tanzania?,hivi kama ninasema uongo endapo serikali ikisema nithibitishe nitaanzaje?.

Ninausema ukweli kwasababu nipo tayari hata serikali ya Tanzania iseme nithibitishe nipo tayari kuthibitisha na wala sihofii kwasababu k

Kwamba mkuu uamini kama kuna ushirikina na kwasababu ninasema ushirikina ni mbaya unaona kama nawaonea washirikina?,Sasa ndiyo nimekuelewa mkuu kwamba unautetea ushirikina!!,kama unautetea ushirikina bila shaka na wewe ni mshirikina!!.

Mkuu mimi nitawaponda vichwa mpaka wanyooke!!
lazima uelewe mkuu kuna wengine wamezaliwa Dar, shule makongo, chuo udsm na hawajawahi kutembea sehem yoyote zaid ya likizo kwa mjomba, ndio maana hawezi kuamini vitu kama hivi coz ukimwambia nilikuwa napaa atataka ushahidi. so usipoteze muda kulusha mawe gizani, wewe endelea na wanaoamini wataamini na wasioamini achana nao usilazimishe
 
Back
Top Bottom