Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Kwanini hukusubiri kesho mzee pombe ziishe muangalie kwenye box lake la hela
Hamna haja ya kusubiri pombe iishe, wangeomba tu kwamba wamechoka safari ndefu sana wapelekwe kupumzika na buku kazaa mzee anapewa arudi kuendelea na masanga.
Jamaa wangeondoka na sarafu sandukuni zooote.
 
Chai
 
Nimefuatilia uzi woote hadi hapa na nimegundua 90% ya wachangiaji humu wamejifanya washauri na kutoa ushauri waoo wakihimiza kusali ila nina uhakika hata wao hawafanyi hivo.


Mwisho kabisa. Mmesema alijiunga na shetani mara wengine wakasema alikuwa mfuasi wa shetani sijaona memba yeyote wala mleta mada akisema aliwahi kumuona shetani na wakaongea

So shetani mnamsingizia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…