Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Nitarudi
Sasa wenye nongwa naomba msimgasi lwanda wetu..leo Nina mianzi ya kutosha mkizingua za migongoni zitawahusu.
Sasa comment kama hii una hukumu kwamba anasapoti wale wanaosema story ya kutunga wakati zairi inaonekana anapingana nao aisee sio poa onlyalvira
 
Huyo jamaa hakuelewa ulimaanisha Nini. .ila mimi nilielewa
 
Mpka epsod ya 8 Baba hajausika kabisa yani ni mama na masister kazidi mama mdogo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpka epsod ya 8 Baba hajausika kabisa yani ni mama na masister kazidi mama mdogo?[emoji23][emoji23][emoji23]
umemsoma mdada wa kazi Bi Ashura toto la kishombe la Igunga? ndilo lililomuua Baba wa Magere (RIP) alipotoka Dar kurudi Tarime ili ampate mganga wa kummaliza Ashura.
ungeuliza Ashura hajaonekana? maana hiz miamia za 1993 angeingia Benki tu
acha True story iendelee
 
LwandaMagere Leo uko nyumba ndogo Nini?
Mwambie akuachie kidogo ulete japo episode mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…