Ivi una elewa nime maanisha nini au unavamia na kureplay pasipo jua namaansha nini kama uja elewa uliza sio kuvamia tu jinga mi ni mmoja ya watu nao kosoa wale wanao sema story ya kutunga na at a nyuma pana comment yangu ambayo imepinga kusema story ya kutunga ebu fatilia ndio uje uandike huu upumbavu nimetumia lugha Kali sababu uelewi alafu unajibu bila fikra ebu tambua kwanza namaansha nni sio kuja Ku replay bila mpango we vipi bana au kwakua nimetumia ya lugha ya utani narudia ludi nyuma utaona comment yangu imepinga kusema story ya kutunga f,,,,,,,