IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Tatizo ni kujiita mtumishi na anatoa ushuhuda kwa yale aliyopitia ila sasa leo tunaambiwa huo ushuhuda tuulipie[emoji848][emoji848]Msiniambie thinkers ni wachache ina maana hakuna mtu aliyejua kwa utunzi huu na jinsi anavyopangilia matukio mwisho wa siku mngelipia ????
Mbon ailikuw clear kwamba ukiachana na story huyu ni mtunzi mwenye uwezo waku create attention kubwa ya watu
Hivi hamuoni flow nzuri ya matukio iliyopangaliwa.Huyu mtu sio muhadithiaji story tu ni mtunzi kabisa tena mzuri.Ametoa dose ya story ambye ni very addictive, story ya kweli mixer na mpangilio wenye kuvutia vzr hilo jambo sio rahisi km sio mtunzi..
Nyie kalipeni hizo buku mumusapoti jamaa kwani kitu gani
Imeisha hiyo..πππHii habari imenitisha. Siku chache zilizopita nimetoka kupata msosi kwenye mgahawa hapo hapo Uyole karibu na zinapopaki Coaster za Dar
Stori ni yake na maamuzi ni yake..usiumie sanaHuu uzwazwa sasa, ora angesema tu tumpe mchango wetu wa hali na mali.Mtumishi kageuka kuwa mjasilia mari.
Bure yaua dadaMe naona bwana LwandaMagere alikuwa na mpango wa kimkakati wa kutafuta hela tu[emoji2088][emoji2088]
KWA TAFSIRI YA INSPECTOR HAROUN.Mrume ndago inamaanisha nn wakuu
CcKuna watu wanatamani wapate nafasi ya kufika huko walipo hao wadada wazuri unaowaelezea.
Shida sio wapate utajiri ila wale matunda kimasihara masihara.
Mchawi pesa πππCc
anasbo Kuhani Noah mrangi
Mwambie mwana awape conneci muende huko Kuna pisi Kali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
duh jamani Mabasi ya Majinjah yanakimbia sana, kumbe kisa ni Madereva na wala sio Matajiri au abiriaile ilisemekana ni ugomvi wa madereva
Mtoa story lengo lilikua ushuhuda wako juu ya maswala ya uchawi na ushirikina....
Kama watu wa JF wasingeifuatlia hata hyo hela ya bundle unayosema usingeipata na bado shida ungeendelea nazo
Nikwambie ukwel buku buku uliyoweka sio kiwango kikubwa ni kidogo mno kwa wanaopenda simulizi
Shida ni mambo mawili
1. Kutaka kuchangiwa ili uendleze ushuhuda hapo ndio unapopingana na lengo lako la mwanzo la kutaka watu wajifunze kupitia wewe na kumtumaini Mungu.
2. Kuhamishana na kupelkana telegram huko ndio watu wengi wanaona sio sawa sio kwamba hawana hyo App Hapana wanayo ila wanaona sio salama kwao kwenda huko kwa namna ya maisha yetu ya JF yalivyo.
Ushauri:
Ni bora ukamtafuta mtu ukatunga kitabu ukaweka na hakimiliki ukakiuza kwa muda mrefu kuliko hzi buku za Telegram.kwa maana ikiisha story na Buku buku zao zmeisha sjajua kama watakuwa wanatoa kwa mwezi ama mpka story ikikamlika.
Asante kwa simulizi nzuri kwa maana mpka hapo ulipofikia kuna mengi ya kujifunza kupitia wewe kila la kheri.
Chukua mpunga huo, ila ukiweza ingia naye mkataba wa royalty, kwamba pamoja na kiasi atakachokupa kama kianzio, wewe na yeye mkubaliane uwe na % kidogo kwenye mauzo.
Na nina uhakika mkikifanyia marketing vizuri, mtauza.
Media tours kama zile za wasanii wanapotoa nyimbo lazima mzifanye.
Wakati umeleta hoja ya mtu kukuomba mtengeneze kitabu nilikushauri ukubali, sasa hii ya group la telegram huwezi kupata kiasi kizuri kama kutoa kitabu.
km view wnaosoma ktk JF ni 122698 ni wengi sana akitoza buku siamini akiwahamishia Telegram anapata 122,698,000.00Kama mlikuwa hamjui basi shida ilianzia hapa
Lwanda Magere akachakata mahesabu denda likamtoka
Kweli Kabisa naona jamaa ana tamaa ya fedha sana na bado haijampeleka popoteTamaa ya fedha ilimpeleka Kigoma hadi DRC, tamaa ya fedha imempeleka tena Telegram!
Mi siungi mkono acheni huyu Mchungaji akavune pesa huko TelegramHivi viongozi wa JF hamuwezi fanya kama n hiyo sh 1000 tukachangia hapahapa JF yetu na stor tukaendekea kupata hapa.
JF n uwanja mpana tunajitosheleza na hakuna haja na mtu kukimbilia nje ya JF ikiwa umeanza hapa kwa kusikia kwa wengine tumejifunza na tutaendela kujifunza hapa kutoka kwako pia wengine.
Hawa viongoz MODERATOR'S mko wap?