Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Hii habari imenitisha. Siku chache zilizopita nimetoka kupata msosi kwenye mgahawa hapo hapo Uyole karibu na zinapopaki Coaster za Dar.
Kama ndio huo basi mi ni mteja wao mkubwa maana natoka town uhindini naenda kula Uyole na kurudi home, hii likizo yote ndipo ninapokula pale kwenye coaster zinazoenda Dar upande wa kushoto ukitokea town mbele ya bank ya NMB. Asante kwa huu uzi.....
 
Mwandishi ume anza vizuri ila uka sahau kama JF ukija na story una trend kwa mda. Ukianza nyodo tuna kusahau[emoji41]
Ulisema anatoa siri zenu ukaapa kumtafuta vipi bado hujapata tu?
Au ni furaha kwako kuacha kuiendeleza hapa? (Joke with reality)πŸ˜ŠπŸ€”
 
Kule geto hakuingiza demu sema ungekua kwenye group ungeelewa zaidi
Huyo ticha alikuwa anamgongea wapi mpaka asubuhi anagoma kwenda kazini baadae akalegeza kidogo dawa asichizike?
Ndio wale wale wanapinga kilichoandikwa na kusimuliwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kumepoa jamaa mvivu amekula buku buku kwasiku anashusha vi short episode......ana base kwenye ngono tuuu nimeamua kuondoka bila kushawishiwa na mtu yeyote.....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Story nzuri na inafundisha... Ila cdhan kama jina lako kwel n lwanda magere
Lwanda Magere ni novel, ni kitabu chenye hadithi ya kumhusu huyo mtu alieitwa Lwanda Magere.
Miaka ya 2005 tulikisoma shule na tulijibia mtihani, sijui kwa sasa kama bado kipo.
 
Kama ndio huo basi mi ni mteja wao mkubwa maana natoka town uhindini naenda kula Uyole na kurudi home, hii likizo yote ndipo ninapokula pale kwenye coaster zinazoenda Dar upande wa kushoto ukitokea town mbele ya bank ya NMB. Asante kwa huu uzi.....
Toka uhindini had uyole [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pitieni kwa huyu mrume ndago wa ukweli kama ulimiss hii story yake...
Hata siko huko ,mm sijaingia[emoji23][emoji23]
BUKU LANGU JAMANI
 
Toka uhindini had uyole [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio bro, wanapika ugali kuku wa ukweli pale. Mikuku flani flani mikubwa ukiagiza paja mwenyewe wajiuliza hili paja la kuku ama maana ni tamu na kubwa!😊😊
 
Asante mkuu nimefika
 
Usimfananishe chizi na lwanda ungekuwa uzi wa chizi nafikir mapema uzi ungekufa.

KwAnza uzi ulikuwa jukwaa lingine ukahamishiwa huku lakini msela alikomaa KUTUPIA TU

Uyo chizi uzi wake uliamishwa na uzi wenyewe akauzira

Huwa sikurupuki ku- comment hovyo kwenyr nyuzi za watu mkuu, chizi maarifa ndio huyo Lwanda magere.
 
Wakuu huyu jamaa kasitisha kuposti humu inasemakana kuna mtu anakop na kupeleka kwenye magroup ya wasap

Hivyo kaamua asitishe pia inasemekana kakutana na yule jamaa wa gamboshi hivyo wanataka watoe kitabu kuhusu hii simulizi
 
Huyo alietoa ktabu cha gamboshi hadi Leo n maskin,wenye kampun za uchapishaj ndo huwa wananufaika
 
Huyo alietoa ktabu cha gamboshi hadi Leo n maskin,wenye kampun za uchapishaj ndo huwa wananufaika
Mkuu jamaa yupo vizuri, unaambiwa alipoingiza kopi sokoni kwa mara ya kwanza alipata gawio la m15

Asa mwenzako huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…