Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

Ye angesema hizo buku tumpe hapa hapa, hayo maswala ya telegram amezingua sana,
Halafu unaposema ye anatumia bundle lake kudraft kwani unadhani sisi wengine tunatumia nini??
Habari yako mkuu,

Wenye buku zao acha waende mkuu,we kama huna uwezo relax fanya mambo mengine,make sasa unaanza kutoa maneno ambayo si ya kiungwana kabisa,acha kashfa mkuu
 
Habari yako mkuu,

Wenye buku zao acha waende mkuu,we kama huna uwezo relax fanya mambo mengine,make sasa unaanza kutoa maneno ambayo si ya kiungwana kabisa,acha kashfa mkuu
Acha kujifanya mjuaji,
Kwahiyo unavyoona hiyo buku ni nyingi sana??
Sasa nikishampa hiyo buku atakuja kupaste hiyo stori pm au???
 
Yaah ni kweli huo mti upo Tabora kwa wingi tu hasa wilaya za uyui,sikonge na urambo sie wakazi wa huko tunaujua ila ni lazima upate dawa nyingine flan ya kuchanganyia kabla ujaiweka kwenye chai au uji. Na sie kule wamama wanalijua wakaiona mzee anatumia wanaaga kwenda kwao kwa mida na vile vile sometimes wengine huwa wanaotumia kutibia uhanithi.
Mtu anaaga kukwepa shipa la kimkakati!!
 
Mrume pale naona hajafafanua kiufasaha, kama ule mti wa shipa la kimkakati nao unatumia ndumba, ila kwa jinsi nilivyomsoma hautumii ndumba ila angetueleza tu namna ya kuuchanganya ili shipa lipigwe kimkakati.
Nakazia mkuu[emoji23], mwisho wa simulizi tutaomba apandishe uzi kuelezea bayana huo mti ili shipa lipigwe kimkakati
 
Acha kujifanya mjuaji,
Kwahiyo unavyoona hiyo buku ni nyingi sana??
Sasa nikishampa hiyo buku atakuja kupaste hiyo stori pm au???
Kama siyo nyingi basi lipa afu uendelee kupata story kuliko kuanza kulalamika na kutoa maneno ya kashfa mkuu,kama hiyo buku unayo basi haya makelele yako hapa ndo ujuaji wenyewe eti
 
Mkuu kwa nn huogopi kutaja jina la mganga Nchibaronda kama unavyoficha majina ya watu wengine .??
 
Kama siyo nyingi basi lipa afu uendelee kupata story kuliko kuanza kulalamika na kutoa maneno ya kashfa mkuu,kama hiyo buku unayo basi haya makelele yako hapa ndo ujuaji wenyewe eti
1. Uwe unafikiria kidogo basi kabla hujaandika.
Yeye amesema anahamishia stori telegram we unanilazimisha nilipie,
Nilikuuliza swali ila hukujibu, sasa nalirudia swali huenda hukuelewa, kwahiyo nikishalipia hiyo buku wewe ndio utakuwa unaileta hapa hiyo stori au?

2. Kuhusiana na hayo maneno unayodai ni malalamiko au ni kashfa hizo ni perception zako tu kulingana na uwezo wako wa kufikiri kwahiyo mi hainihusu.
Kifupi niko responsible kwa kile tu nilichoandika sio vile ulivyoelewa.
 
Back
Top Bottom